Nataka nianze kumkopesha Wife, Unanishauri Je?

Mleta mada ni zezeta.

Kuna uwezekano mkubwa huu uzi ni chai, usikute anakula na kulala kwa shemeji yake.

Hapo anasubiri akakamilishe usajili akaanze chuo mwaka wa kwanza (first year).
😀😀 niko tayari kukutana na wewe hata tupate bia kidogo mkuu.
 
Nimehitimu chuo kikuu mwaka 2004.
Ulikuwa ushazaliwa mkuu?
Mbona mnalifanya hili jukwaa zuri kuwa sehemu ya embarrassment?
Anyway...ndio maoni yako.
Chai.

Pesa ya bumu umeshaingiziwa dogo?

Fanya hima uhamie hosteli uache kumsumbua shemeji yako hapo nyumbani kwake.
 
Wakuu, hasa kwa Wanaume tunaowapa wake zetu mitaji, leo nimepata wazo...nahitaji ushauri kidogo.

Mke wangu ni mjasiriamali, tokea nimemuoa yeye ni mtu wa biashara.

Kipindi cha maandalizi ya harusi yetu, aliweka pesa nyingi sana kwenye maandalizi ya sendoff yake.
Tunaingia kwenye ndoa mtaji wake ukiwa hoi.

Ikabidi nitoe kama 13M hivi kupush mtaji ili awe stable, offcoz biashara ikasimama poa, nikapata janga kidogo 2016 baada tu ya uchaguzi wa 2015 (kazi zangu zikasimama)

Most of biashara zake ndio zikawa zinapush life, naanza kurecover 2017 narudi job, biashara zake zikawa zimedorora sana nikahisi mimi ndio chanzo...anyway nilivyorudi tu job, nikakopa bank nikampa 12M pamoja na kutoa mahitaji yote ya home. Lazima kila mwezi niweke 600k home...(exclude ada za watoto).

2020 wakawa wanajenga kwao japo alifanya kimya kimya, ila nilijua yeye na Dada yake waliwajengea wazazi wao...so business ika drop(walifanya kitu kikubwa kuliko uwezo)

Malalamiko yakaanza tena, anyway kwasababu madeal yangu yalikuwa poa nikamjaza tena 10M kupush mtaji...in most cases biashara yake inamhudumia mwenyewe kwangu ni poa, hela ya nywele, nguo zake n.k huwa anafanya mwenyewe...

This time amekuja tena na wazo lakuomba kuongezewa mtaji, abadilishe na kuongeza biashara.

Na mimi nina maeneo yangu nataka kuyajenga sasa...

Nimemwambia nimkopeshe 25M ila ajue atairejesha, na njia atakayotumia ni mimi kutokutoa matumizi ya ndani, ile 600k atoe yeye kama marejesho...kakataa, kwasababu huko nyuma sikufanya hivyo...

Maisha yanabadilika umri unakwenda na bado sijafanya uwekezaji ninaoutaka!

Hapo nakosea? Je, maamuzi yangu ni sahihi au nakosea?
Binafsi nashindwa kuelewa ingawa sijamaliza kusoma ila ni vyema kusimama kuwa kitu kimoja lazima mjadili mnasaidiaje majukumu ya nyumbani na ya nyumbani kwa kila mmoja anapotoka na mue na usawa
 
Wakuu, hasa kwa Wanaume tunaowapa wake zetu mitaji, leo nimepata wazo...nahitaji ushauri kidogo.

Mke wangu ni mjasiriamali, tokea nimemuoa yeye ni mtu wa biashara.

Kipindi cha maandalizi ya harusi yetu, aliweka pesa nyingi sana kwenye maandalizi ya sendoff yake.
Tunaingia kwenye ndoa mtaji wake ukiwa hoi.

Ikabidi nitoe kama 13M hivi kupush mtaji ili awe stable, offcoz biashara ikasimama poa, nikapata janga kidogo 2016 baada tu ya uchaguzi wa 2015 (kazi zangu zikasimama)

Most of biashara zake ndio zikawa zinapush life, naanza kurecover 2017 narudi job, biashara zake zikawa zimedorora sana nikahisi mimi ndio chanzo...anyway nilivyorudi tu job, nikakopa bank nikampa 12M pamoja na kutoa mahitaji yote ya home. Lazima kila mwezi niweke 600k home...(exclude ada za watoto).

2020 wakawa wanajenga kwao japo alifanya kimya kimya, ila nilijua yeye na Dada yake waliwajengea wazazi wao...so business ika drop(walifanya kitu kikubwa kuliko uwezo)

Malalamiko yakaanza tena, anyway kwasababu madeal yangu yalikuwa poa nikamjaza tena 10M kupush mtaji...in most cases biashara yake inamhudumia mwenyewe kwangu ni poa, hela ya nywele, nguo zake n.k huwa anafanya mwenyewe...

This time amekuja tena na wazo lakuomba kuongezewa mtaji, abadilishe na kuongeza biashara.

Na mimi nina maeneo yangu nataka kuyajenga sasa...

Nimemwambia nimkopeshe 25M ila ajue atairejesha, na njia atakayotumia ni mimi kutokutoa matumizi ya ndani, ile 600k atoe yeye kama marejesho...kakataa, kwasababu huko nyuma sikufanya hivyo...

Maisha yanabadilika umri unakwenda na bado sijafanya uwekezaji ninaoutaka!

Hapo nakosea? Je, maamuzi yangu ni sahihi au nakosea?
Kama unamkopesha, mkopeshe nusu kuangalia urejeshaji wake na ukuaji WA Biashara kama inaelekea vizuri.
Nakushauri hiyo 600k ya home Endelea kuitoa wewe Mwanaume. Yeye awe anarejesha kwako huo mkopo kama utampa, either arejeshe Kwa mwezi..etc lakini usiruhusu hiyo home allowance atoe yeye.
Piah fatilia Kwa makini hizo Biashara zake kama walivyosema wachangiaji wengine.
 
Mtoa mada kwenye hiyo 25m naomba ipunguze mpatie m15, na mimi naomba nikopeshe 2m.
Hiyo inayobaki twende nayo kwenye house party moja hivi kiingilio 2m utanishukuru mwenyewe
 
Mtoa madakwenye hiyo 25m naomba ipunguze mpatie m15, na mimi naomba nikopeshe 2m.
Hiyo inayobaki twende nayo kwenye house party moja hivi kiingilio 2m utanishukuru mwenyewe
Mamkwe mbona huku nambia kama inahitaji 2 millions of money, anyway it's okay
 
Kama ana Biashara mwambie akakope bank

Kama bank hawawezi kumkopesha basi hata wewe usimkopeshe labda umpe tu
 
Ninachokiona hapo, wewe na mkeo hamjengi uchumi wa familia, wewe unajenga kwako na yeye yupo busy anajenga kwake. In that case utakuwa unampa mtaji kila baada ya mda maana hakuna collective plans and responsibilities.

Kila mtu anajenga himalayas yake, that's not how family economy is built.
 
Hiyo inayobaki twende nayo kwenye house party
Screenshot_20261017-063758.jpg
 
Back
Top Bottom