Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Mleta mada ni zezeta.Duh wayamalize wao wenyewe.
Kujenga kwao bila kukutaarifu mpaka hapo hiyo ni green light.Hilo la kuwa na mambo mengine nisiyoyajua inawezekana, ila ilo la kulea mhh
😀😀 niko tayari kukutana na wewe hata tupate bia kidogo mkuu.Mleta mada ni zezeta.
Kuna uwezekano mkubwa huu uzi ni chai, usikute anakula na kulala kwa shemeji yake.
Hapo anasubiri akakamilishe usajili akaanze chuo mwaka wa kwanza (first year).
Mkuu umeoa?Kujenga kwao bila kukutaarifu mpaka hapo hiyo ni green light.
Akisimama sawasawa ataomba taraka huyo akafaidi pesa na ving'asti.
Hahahhhhh matajear wa JF hao mkuu Kwenye 1 na 2.Mleta mada ni zezeta.
Kuna uwezekano mkubwa huu uzi ni chai, usikute anakula na kulala kwa shemeji yake.
Hapo anasubiri akakamilishe usajili akaanze chuo mwaka wa kwanza (first year).
Umechaguliwa chuo gani?😀😀 niko tayari kukutana na wewe hata tupate bia kidogo mkuu.
Ameanza vizuri ila nimekuja kushtuka huu uzi ni Chai.Hahahhhhh matajear wa JF hao mkuu Kwenye 1 na 2.
Nimehitimu chuo kikuu mwaka 2004.Umechaguliwa chuo gani?
Chai.Nimehitimu chuo kikuu mwaka 2004.
Ulikuwa ushazaliwa mkuu?
Mbona mnalifanya hili jukwaa zuri kuwa sehemu ya embarrassment?
Anyway...ndio maoni yako.
Huyo ni fresher from school.Kama upo tayari kupoteza mpatie, kama haupo tayar kupoteza usimpatie.
Binafsi nashindwa kuelewa ingawa sijamaliza kusoma ila ni vyema kusimama kuwa kitu kimoja lazima mjadili mnasaidiaje majukumu ya nyumbani na ya nyumbani kwa kila mmoja anapotoka na mue na usawaWakuu, hasa kwa Wanaume tunaowapa wake zetu mitaji, leo nimepata wazo...nahitaji ushauri kidogo.
Mke wangu ni mjasiriamali, tokea nimemuoa yeye ni mtu wa biashara.
Kipindi cha maandalizi ya harusi yetu, aliweka pesa nyingi sana kwenye maandalizi ya sendoff yake.
Tunaingia kwenye ndoa mtaji wake ukiwa hoi.
Ikabidi nitoe kama 13M hivi kupush mtaji ili awe stable, offcoz biashara ikasimama poa, nikapata janga kidogo 2016 baada tu ya uchaguzi wa 2015 (kazi zangu zikasimama)
Most of biashara zake ndio zikawa zinapush life, naanza kurecover 2017 narudi job, biashara zake zikawa zimedorora sana nikahisi mimi ndio chanzo...anyway nilivyorudi tu job, nikakopa bank nikampa 12M pamoja na kutoa mahitaji yote ya home. Lazima kila mwezi niweke 600k home...(exclude ada za watoto).
2020 wakawa wanajenga kwao japo alifanya kimya kimya, ila nilijua yeye na Dada yake waliwajengea wazazi wao...so business ika drop(walifanya kitu kikubwa kuliko uwezo)
Malalamiko yakaanza tena, anyway kwasababu madeal yangu yalikuwa poa nikamjaza tena 10M kupush mtaji...in most cases biashara yake inamhudumia mwenyewe kwangu ni poa, hela ya nywele, nguo zake n.k huwa anafanya mwenyewe...
This time amekuja tena na wazo lakuomba kuongezewa mtaji, abadilishe na kuongeza biashara.
Na mimi nina maeneo yangu nataka kuyajenga sasa...
Nimemwambia nimkopeshe 25M ila ajue atairejesha, na njia atakayotumia ni mimi kutokutoa matumizi ya ndani, ile 600k atoe yeye kama marejesho...kakataa, kwasababu huko nyuma sikufanya hivyo...
Maisha yanabadilika umri unakwenda na bado sijafanya uwekezaji ninaoutaka!
Hapo nakosea? Je, maamuzi yangu ni sahihi au nakosea?
Kama unamkopesha, mkopeshe nusu kuangalia urejeshaji wake na ukuaji WA Biashara kama inaelekea vizuri.Wakuu, hasa kwa Wanaume tunaowapa wake zetu mitaji, leo nimepata wazo...nahitaji ushauri kidogo.
Mke wangu ni mjasiriamali, tokea nimemuoa yeye ni mtu wa biashara.
Kipindi cha maandalizi ya harusi yetu, aliweka pesa nyingi sana kwenye maandalizi ya sendoff yake.
Tunaingia kwenye ndoa mtaji wake ukiwa hoi.
Ikabidi nitoe kama 13M hivi kupush mtaji ili awe stable, offcoz biashara ikasimama poa, nikapata janga kidogo 2016 baada tu ya uchaguzi wa 2015 (kazi zangu zikasimama)
Most of biashara zake ndio zikawa zinapush life, naanza kurecover 2017 narudi job, biashara zake zikawa zimedorora sana nikahisi mimi ndio chanzo...anyway nilivyorudi tu job, nikakopa bank nikampa 12M pamoja na kutoa mahitaji yote ya home. Lazima kila mwezi niweke 600k home...(exclude ada za watoto).
2020 wakawa wanajenga kwao japo alifanya kimya kimya, ila nilijua yeye na Dada yake waliwajengea wazazi wao...so business ika drop(walifanya kitu kikubwa kuliko uwezo)
Malalamiko yakaanza tena, anyway kwasababu madeal yangu yalikuwa poa nikamjaza tena 10M kupush mtaji...in most cases biashara yake inamhudumia mwenyewe kwangu ni poa, hela ya nywele, nguo zake n.k huwa anafanya mwenyewe...
This time amekuja tena na wazo lakuomba kuongezewa mtaji, abadilishe na kuongeza biashara.
Na mimi nina maeneo yangu nataka kuyajenga sasa...
Nimemwambia nimkopeshe 25M ila ajue atairejesha, na njia atakayotumia ni mimi kutokutoa matumizi ya ndani, ile 600k atoe yeye kama marejesho...kakataa, kwasababu huko nyuma sikufanya hivyo...
Maisha yanabadilika umri unakwenda na bado sijafanya uwekezaji ninaoutaka!
Hapo nakosea? Je, maamuzi yangu ni sahihi au nakosea?
Mamkwe mbona huku nambia kama inahitaji 2 millions of money, anyway it's okayMtoa madakwenye hiyo 25m naomba ipunguze mpatie m15, na mimi naomba nikopeshe 2m.
Hiyo inayobaki twende nayo kwenye house party moja hivi kiingilio 2m utanishukuru mwenyewe
Hiyo inayobaki twende nayo kwenye house party