Nataka nianze kunywa pombe bia gani ni nzuri ya kujifunzia?

Nataka nianze kunywa pombe bia gani ni nzuri ya kujifunzia?

Bavaria sio pombe mkuu na soda ya kiwango kingine.

Kunywa Baltika uzoee ile ladha then unakuja kunywa Serengeti lite.

Angalizo: Baltika pia sio pombe
Bavaria ni kinywaji classic hata nikienda club huwa napata Bavaria
 
Safari ni ngumu sana
piga balimi
sindikiza na nyama choma
usiinywe kwa haraka haraka
hakikisha una muda wa kutosha
kunywa huku unapiga stori flani na washkaji au inaangalia movie flani kali

Hakikisha unaenda mdogo mdogo

Niite nikupe kampani kama uko Dar, hahaha
 
piga balimi
sindikiza na nyama choma
usiinywe kwa haraka haraka
hakikisha una muda wa kutosha
kunywa huku unapiga stori flani na washkaji au inaangalia movie flani kali

Hakikisha unaenda mdogo mdogo

Niite nikupe kampani kama uko Dar, hahaha
Balimi imekaa kishamba hii mkuu ukinywa unaonekana ni 'mshamba na malimbukeni'
 
Kunywa pombe sio sifa. Achana na pombe zinaaibisha sana endapo ukishindwa kuzihimili.
Utaabika sana, utaaibisha watoto wako na ndugu zako.
Umeongea kwa hisia kali, imekufanyaje pombe eti mamiloo
 
Nakushauri anza na wine [emoji485] kidogo kidogo
 
Back
Top Bottom