Maleven
JF-Expert Member
- Sep 8, 2019
- 783
- 3,666
Nimekua mtoaji sana kwa ndugu jamaa na marafiki, mara nyingi hela niliotoa huwa inakaribia au hata kuzidi matumizi ya familia yangu.
Nataka nijaribu maisha ya ubinafsi nione kama kuna kitu kitabadilika, huwa naamini kutoa kuna baraka, ila sasa nataka kujaribu "huwezi kua tajiri bila kua bahili" Nataka nione hilo