Yaani sawa na umeme na maji ?itakuwa imejificha hapo kwenye utilities..🤣
Yeah ni kupunguza tu. Mimi mwenyewe hii hali inanisumbua na imenicheleweaha sana. Ila nikiona ndugu yangu ana shida roho inaniuma najikuta nimemsaidiaNi kwei, hapa kua moja nimemkubuka hai yake, nishatumia, naona kama malengo yanafeli ila nitapunguza
Share with you the following Android application.Maleven naomba unisaidie hio app umetumia
Kila mtu ale kwa jasho lake,yaan wew kisa ulipewa kyma unataka uishi kama kupe kwa kutegemea wanaume,dunia ya sasa haipo hvyo utateseka sanaSasa si uolewe tu kabisa uhudumiwe? , unafaida gani ya kua mwanaume kama unataka ukimbie familia?
sawa piga puliKila mtu ale kwa jasho lake,yaan wew kisa ulipewa kyma unataka uishi kama kupe kwa kutegemea wanaume,dunia ya sasa haipo hvyo utateseka sana
Tafuta acha kuwa goli kipa
Unazidiwa na kuku
Tunaishi kwa kutegemeana, pengine bila kutoboka hauwezi kuendelea,Nimekua mtoaji sana kwa ndugu jamaa na marafiki, mara nyingi hela niliotoa huwa inakaribia au hata kuzidi matumizi ya familia yangu.
Nataka nijaribu maisha ya ubinafsi nione kama kuna kitu kitabadilika, huwa naamini kutoa kuna baraka, ila sasa nataka kujaribu "huwezi kua tajiri bila kua bahili" Nataka nione hiloView attachment 3299063