Kosa la kwanza lipo hapo kwenye sadaka!, ila inahitaji elimu kunielewa!Nimekua mtoaji sana kwa ndugu jamaa na marafiki, mara nyingi hela niliotoa huwa inakaribia au hata kuzidi matumizi ya familia yangu.
Nataka nijaribu maisha ya ubinafsi nione kama kuna kitu kitabadilika, huwa naamini kutoa kuna baraka, ila sasa nataka kujaribu "huwezi kua tajiri bila kua bahili" Nataka nione hiloView attachment 3299063
SawaNinachokitoa kwa ndugu (wasio wajibu wangu),jamaa na marafaki ndio na term kama sadaka
itakuwa imejificha hapo kwenye utilities..🤣Kwamba huwa huwekezi kabisa kwenye mbususu?!
Aaah wapi... Hii kauli niliwahi kusimama nayo sana na badala yake nikabaki natumika tu halafu nilipokuwa nakwama na kuhitaji msaada wa haohao ambao tunasaidiana niliambulia patupu tu na hakuna hata aliyekuwa anaonyesha kujali. Nikaapa juu ya Mungu acha niwe na mkono mfupi tu maana katika utoaji sikuwahi kupata faida yoyote.mkono unaotoa ndio unaopokea zaidi.
Mkuu nilizani kanisani.Sawa
Sasa si uolewe tu kabisa uhudumiwe? , unafaida gani ya kua mwanaume kama unataka ukimbie familia?Mimi nataka niikimbie kabisa familia,yaan hela yang nataka iwe ya kula mimi tu na kuvaa na kuanzisha vitega uchumi
Nimepanga wanangu nitatafutana nao hapo baadae na kuwaonesha nilichochuma