Nataka nichape rafiki wa mchepuko wangu,nitumie mbinu gani?

Nataka nichape rafiki wa mchepuko wangu,nitumie mbinu gani?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,966
Reaction score
26,220
Wakuu,hamjambo?
Nina mchepuko wangu juzi kati akanitambulisha kwa shosti wake flani hivi,ebana huyo shosti yake ni pisi sio ya nchi hii,udenda ukanitoka asee,nikavizia mchepuko wangu kaenda toilet fasta nikachukua number,sasa nimeishaipigia kuisaundisha ila inanizingua inaniambia eti me ni shemeji yake.
Wakuu nitumie mbinu gani nichape hii mali?
 
FB_IMG_1755970836605.jpg
 
Back
Top Bottom