Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina rafiki wa mabasi ya mkoani mengi sana, na kila akiuza ya zamani ili aingize mapya lazima aagize kwa mkopo ambao huwa ananishirikisha karibu kila jambo hadi gharama ya basi moja hadi inakanyaga barabarani sio chini ya hiyo pesa kwaiyo kijana kama anaona milioni 500 ajaribu aone....ila kwa iyo pesa pia anaweza nunua tandem 3 nahisi mpaka anakamilisha kila kitu iyo pesa itakuwa imefanya jambo kubwa na chuma zitaanza kaziHata bei ya mabasi hajui
Do you have collaterals and competitive business plan, since bankers are not risk takersNina rafiki wa mabasi ya mkoani mengi sana, na kila akiuza ya zamani ili aingize mapya lazima aagize kwa mkopo ambao huwa ananishirikisha karibu kila jambo hadi gharama ya basi moja hadi inakanyaga barabarani sio chini ya hiyo pesa kwaiyo kijana kama anaona milioni 500 ajaribu aone....ila kwa iyo pesa pia anaweza nunua tandem 3 nahisi mpaka anakamilisha kila kitu iyo pesa itakuwa imefanya jambo kubwa na chuma zitaanza kazi
Vip kuhusu dhamana?Kwa uzoefu wangu wa NBC bank
-Ni kweli wana mkopo wa magari ya biashara lakini uwe unakopesheka I.e uwe tayari kwenye industry hiyo sio ndo uanze from scratch. Wanakopesha hata taasisi za kidini zenye shule,hosp n.k
- Ni kweli wana mkopo wa wajasiriamali/wafanyabiashara (SMEs) unaitwa KUA NASI unaeza pata from 1M to 60M lakini lazima uwe na biashara yenye turnover nzuri ili ukopesheke mpunga huo. Sio uchukue hela zao ndo uanzishe biashara....
So fikiri upya and all the best
Hata mimi nimemuuliza hapo juu kwa maana Benki hawachezi pata potea, (sandakalawe)Vip kuhusu dhamana?
Sio kikoba wala upatu🤣🤣🤣🤣Hata mimi nimemuuliza hapo juu kwa maana Benki hawachezi pata potea, (sandakalawe)
Ni kweli kwa Bongo hawaamini ktk Idea za Watu .niliwahi kumsikia E. Shigongo wakati anaanza biashara yake ya magazeti yake Udaku, akawa hana mtaji, akampelekea mzee mmoj rafiki yake hiyo Idea walau amkopeshe kiasi fulani cha Pesa. Yule mzee hakumuamini, akampiga tarehe, lakini baadae akaja kumkopesha ile hela.Bongo hawaamini kwenye idea, hakuna mtu wa kutoa hela kwenye idea watu wanataka kuona matunda then ndo wanaweka hela.
Embu pia jaribu kutuwekea mchanganuo wa biashara yako ya mabasi itakua na utofauti gani ukilinganisha na hawa wanaopata hasara kila siku tuone tukushauri vipi
Toa mfano wa mkopo wa 10 au 5m ?na treasury bill ni benk yoyote inachukua. Mfano unawezanukawa naa hisa au utt exim wakachukua mkopoHuwezi kukopa Benki kuu, sio benki ya aina hiyo.
Pia kiasi hiko cha chini ya millioni 500 ni kidogo hata kwa commercial banks nyingi, haihitaji hata kwenda board ya benki kujadiliwa inaishia kwa loan officers na credit department.
Shida ni je unakopesheka?
Ili kukopa inabidi uwe covered atleast 120% ya Forced Sale value ya Asset utakayoweka rehani (Jengo - Residential or Commercial) au 100% Cash cover or Treasury bill.
Pia biashara inapaswa kuwa yenye kueleweka ndio maana ni rahisi kupata mkopo wa kukuza biashara kuliko kuanzisha biashara.
Mfano unataka mkopo wa milioni 500 kutoka Benki. Assets (Immovable Physical Assets) inakuwa:
120% ya Millioni 500 = 600 Million - Forced Sale Value ya Physical Asset yako (80% ya Assessed Asset Value)
Assessed Value ya Rehani Yako x 80% = Forced Value sawa na TZS 750
Yani kiufupi ili ukope millioni 500 Benki inabidi uwe na Nyumba/Jengo lenye Thamani ya Millioni 750 utakaloweka rehani, au Pesa/Treasury Bill ya Thamani ya Millioni 500.
Shida inaanza hapo. Pia biashara ya usafirishaji ni biashara kichaa
Yeye anadhani mikopo nikama maji unaenda kuchota mtoni ama bombani, elimu yake haija msaidia, itoshe kusema ana tatizo gorofani amekuja kwenye jukwa hilli kwa utaniSio kikoba wala upatu🤣🤣🤣🤣
Ushauri wangu tafuta kwanza experience ya biashara ya vyombo vya motoWakuu habarini za wakati huu. Husika na madam tajwa hapo juu, Nina elimu ya Shahada ya kwanza katika tasnia ya teknolojia ya habari na biashara. (Businesses Information Technology).
Usiku wa kuamkia Leo nimekosa usingizi baada ya kuwa na mawazo ya kuwaza na kuwazua juu ya maisha yangu ya usoni. Nimeamka nikaenda magotini nikasali na kukaa. Ilikuwa ni saa name usiku, baada ya hapo nikawa nawaza cha kufanya. Baadaye nikapata wazo.
WAZO LANGU: Niende Benki kuu (BOT) niombe Mkopo angalau milioni mia 4-5 ninunue mabasi mawili ya mikoani, au
Niende benki ya taifa ya biashara. (NBC) niwaelezee dhamira yangu ya kuomba Mkopo wanipe mlioni 10 - 20 nianzishe biashara ya nguo.
Hayo mawazo mawili yamenisumbua Sana usiku mzima na sijalala wakuu. Japo kwa upande mwingine naona kama ni jambo gumu. Kabla sijaachana nalo, nimeona nije humu nione mnipe miongozo iliyotukuka na ushauri mwanana juu ya hata mawazo yangu mawili.
.Natamani kujua: Je, kwa mtu ambaye siye mtumishi Wa serikali anaweza kuomba Mkopo BOT na kupewa?
.Je, kwa mtu ambaye si mfanya biashara, ambaye Ana ndoto kama zangul anaweza kuomba na kupewa Mkopo kutoka hizi benki nyingine (NBC, NMB, CRDB ......?)
Naombeni ushauri wakuu. Natamani nijiajiri ila mtaji unanitoa jasho.
Kununua mabasi hio si idea mkuu, hio kila mtu anaweza fanya au i afabywa na watu wengi, tuBongo hawaamini kwenye idea, hakuna mtu wa kutoa hela kwenye idea watu wanataka kuona matunda then ndo wanaweka hela.
Embu pia jaribu kutuwekea mchanganuo wa biashara yako ya mabasi itakua na utofauti gani ukilinganisha na hawa wanaopata hasara kila siku tuone tukushauri vipi
Magari ni majeneza yanayotembeaKununua mabasi hio si idea mkuu, hio kila mtu anaweza fanya au i afabywa na watu wengi, tu
BOT wanatoa mikopo kwa watu binafsi?Wakuu habarini za wakati huu. Husika na madam tajwa hapo juu, Nina elimu ya Shahada ya kwanza katika tasnia ya teknolojia ya habari na biashara. (Businesses Information Technology).