Nataka niende kwa mumewe kumuelezea alichonifannyia

Nataka niende kwa mumewe kumuelezea alichonifannyia

Guru Guja

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
217
Reaction score
285
Huyu dada alikuja kwangu dukani jioni hakutaka kuondoka mpaka tukabaki wawili wakati wa kufunga duka.

Akanishawishi tukafanya mapenzi. Akaomba nguo mbili akajaribu. Mimi najua anakoishi ni jirani yangu wa zamani wakati nimepanga nyumba Kijitonyama.

Nilimwabia achukue nguo moja akasema anaenda jaribu ili mdogo wake amwambie ipi nzuri zaidi. Mpaka leo hajarudisha. Mimi nilimkubalia moja yeye kachukua 2.

Mimi nataka nimfuate mume wake nimwambie mkewe hataki nirudishia nguo yangu moja sababu tulikubaliana achukue moja tu na si 2.

Leo au kesho namfuata nimwambie kila kitu.
 
Wejamaaa wewe. Sasa hizo guo za nini tena si umeonga hizo.amekupa ukampa biashara imekishwa...eti guo😂😂😂😂😂😂
 
Ulienda kusema na yeye umpe uhuru aseme alipata nguo kwa sababu ipi........?😀😀😀😀😀
 
Nenda kadai nguo zako zote mbili mkuu, kuhusu starehe aliyokupa usijali utairudisha kwa mumewe halafu mambo yatakwisha.
 
Acha kujitafutia ulemavu usiyo na sababu,sumu haionjwi kwa ulimi,unachokitafuta utakipata
 
Inabid nikufuate pm MBN umeelew mm chenga
Sisi kina mama tunaelewaga watoto hata pale wanaposhindwa kutamka maneno😂😂😂 huyu alivyoandika kama mwanangu wa miaka3 kabisaaa. Sijui yeye ana umri gani
 
Back
Top Bottom