King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Huyu dada alikuja kwangu dukani jioni hakutaka kuondoka mpaka tukabaki wawili wakati wa kufunga duka.
Akanishawishi tukafanya mapenzi. Akaomba nguo mbili akajaribu. Mimi najua anakoishi ni jirani yangu wa zamani wakati nimepanga nyumba Kijitonyama.
Nilimwabia achukue nguo moja akasema anaenda jaribu ili mdogo wake amwambie ipi nzuri zaidi. Mpaka leo hajarudisha. Mimi nilimkubalia moja yeye kachukua 2.
Mimi nataka nimfuate mume wake nimwambie mkewe hataki nirudishia nguo yangu moja sababu tulikubaliana achukue moja tu na si 2.
Leo au kesho namfuata nimwambie kila kitu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee mam lolNna watoto wangu wa miaka3 nawafundishaga kuandika ndio maandiko ya dizaini hiyohiyo[emoji23][emoji23]
Haiwezekank Mtanzania asielewe kuwa hapa biashara imeisha, marehemu kafa na mazishi tayari πππUraia una mashaka...
Nini tena!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee mam lol
Yaani CCM imekaa wapumbavu siku hizi hadi inatia kinyaa.Jamaa una kiherehere mpaka unashindwa kuandika
Huyu dada alikuja kwangu dukani jioni hakutaka kuondoka mpaka tukabaki wawili wakati wa kufunga duka.
Akanishawishi tukafanya mapenzi. Akaomba nguo mbili akajaribu. Mimi najua anakoishi ni jirani yangu wa zamani wakati nimepanga nyumba Kijitonyama.
Nilimwabia achukue nguo moja akasema anaenda jaribu ili mdogo wake amwambie ipi nzuri zaidi. Mpaka leo hajarudisha. Mimi nilimkubalia moja yeye kachukua 2.
Mimi nataka nimfuate mume wake nimwambie mkewe hataki nirudishia nguo yangu moja sababu tulikubaliana achukue moja tu na si 2.
Leo au kesho namfuata nimwambie kila kitu.ma
Hakna ila nimecheka tyuuh.Nini tena!?
Hamna duka hapo, ushaliwa ivo half unaenda kuanza-anzaje sas kumsimulia mume mwenzio?Huyu dada alikuja kwangu dukani jioni hakutaka kuondoka mpaka tukabaki wawili wakati wa kufunga duka.