Nataka niende kwa mumewe kumuelezea alichonifannyia

Huyu dada alikuja kwangu dukani jioni hakutaka kuondoka mpaka tukabaki wawili wakati wa kufunga duka.

Akanishawishi tukafanya mapenzi. Akaomba nguo mbili akajaribu. Mimi najua anakoishi ni jirani yangu wa zamani wakati nimepanga nyumba Kijitonyama.

Nilimwabia achukue nguo moja akasema anaenda jaribu ili mdogo wake amwambie ipi nzuri zaidi. Mpaka leo hajarudisha. Mimi nilimkubalia moja yeye kachukua 2.

Mimi nataka nimfuate mume wake nimwambie mkewe hataki nirudishia nguo yangu moja sababu tulikubaliana achukue moja tu na si 2.

Leo au kesho namfuata nimwambie kila kitu.

Kwa wasiojua huyu ndio GURU GUJA.

GURUGUJA.png
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hakikisha unasema vyote mlivofanya.
 
Dah kuna jamaa hapa kaniambia eet umetoa macho kama jusi guruguja[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu dada alikuja kwangu dukani jioni hakutaka kuondoka mpaka tukabaki wawili wakati wa kufunga duka.

Akanishawishi tukafanya mapenzi. Akaomba nguo mbili akajaribu. Mimi najua anakoishi ni jirani yangu wa zamani wakati nimepanga nyumba Kijitonyama.

Nilimwabia achukue nguo moja akasema anaenda jaribu ili mdogo wake amwambie ipi nzuri zaidi. Mpaka leo hajarudisha. Mimi nilimkubalia moja yeye kachukua 2.

Mimi nataka nimfuate mume wake nimwambie mkewe hataki nirudishia nguo yangu moja sababu tulikubaliana achukue moja tu na si 2.

Leo au kesho namfuata nimwambie kila kitu.ma

Maendeleo hayana chama
 
Unavyo enda beba na mafuta Mkuu utanishukuru baadae [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu Nadhani Anahitaji BAWASILI kwa Nguvu[emoji849]
 
Huyu dada alikuja kwangu dukani jioni hakutaka kuondoka mpaka tukabaki wawili wakati wa kufunga duka.

Akanishawishi tukafanya mapenzi. Akaomba nguo mbili akajaribu. Mimi najua anakoishi ni jirani yangu wa zamani wakati nimepanga nyumba Kijitonyama.

Nilimwabia achukue nguo moja akasema anaenda jaribu ili mdogo wake amwambie ipi nzuri zaidi. Mpaka leo hajarudisha. Mimi nilimkubalia moja yeye kachukua 2.

Mimi nataka nimfuate mume wake nimwambie mkewe hataki nirudishia nguo yangu moja sababu tulikubaliana achukue moja tu na si 2.

Leo au kesho namfuata nimwambie kila kitu.
Hamna duka hapo, ushaliwa ivo half unaenda kuanza-anzaje sas kumsimulia mume mwenzio?
 
Back
Top Bottom