Nataka niendeshe bodaboba msinigonge huko barabarani

Nataka niendeshe bodaboba msinigonge huko barabarani

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 yaani shost thread zako hazijawahi kunichosha
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Kwa chura uliyonayo utatuweka abiria kwenye wakati mgumu saana!
Nitakuwa mteja wako mwaminifu......

Hiyo avatar si ndo wewe..??

325782.jpg
 
Miss kuna kirikuu hapa nimekifungia ndani baada ya dereva kutoleta hesabu.

Kwa wewe nitakupa hesabu ndogo sana kwa siku
 
Back
Top Bottom