Nataka nifanye kazi ya kusajili laini

Nataka nifanye kazi ya kusajili laini

Mimi nina degree kama wewe na kazi nilizofanya (ya mwisho nimepigwa chini) zote shit.
Fanya kazi mzee


Halafu nimekumbuka, nina washkaji zangu wawili tumemaliza wote degree wapo TTCL wanasajili line.
 
Huna degree ww mm nakujua umemaliza form six juz
 
Back
Top Bottom