Nataka nifanye maamuzi magumu ya kutengana na mke wangu

Haya mambo ya ndoa haya kila mtu anaugulia kivyake

Mkuu usikurupuke kwanza kumuacha mkeo ebu kaeni chini kwanza mmalize tofauti zenu

Tatizo kwenye ndoa yenu kila mmoja yupo juu hilo ndio tatizo kubwa mwanamke ana sauti kumzidi baba
Kijana nakushauri fuata moyo wako vile unataka
 
Haya mambo ya ndoa haya kila mtu anaugulia kivyake

Mkuu usikurupuke kwanza kumuacha mkeo ebu kaeni chini kwanza mmalize tofauti zenu

Tatizo kwenye ndoa yenu kila mmoja yupo juu hilo ndio tatizo kubwa mwanamke ana sauti kumzidi baba
Hakika uliyoyaongea, maana ukiona kwako kunaungua basi ujue kwa mwenzako kuna teketea. Wanawake wote mwalimu wao mmoja.
 
Usikimbilie kufikiria kumuacha.

Hapo ni kuwaita wakubwa/ watu ambao wanaweza kuwa na heshima kwenu na wote mkaweza kusikiliza wanachowaambia. Wanaweza kuwa wazazi, mshenga, viongozi wa kanisa nk.

Kila mmoja aeleze kwa undani jambo linalompa changamoto katika ndoa yenu.

Mtafika mwisho mzuri naamini. Kuachana ni hatua ya mbali sana kama mliamua kuoana kwa ridhaa yenu wenyewe na sio kwa kulazimishwa.

Mungu ni Mwema.

Mungu anatenda

Msiache pia kumshirikisha
Uwa anajibu kwa wakati hawai wala hachelewi.
 
Umeongea fact, kuvunja baraza la mawaziri si mchezo but inawezekana

Mkuu the earlier you decide the better,unavyoendelea kukaa nae ndivyo inavyokuwia vigumu wewe kutoka kwenye huo uhusiano,,, don’t stay wishing your partner will change,it will never happen.,.,and time is passing by,,,the more you invest your time into this relationship the more it’s gonna be hard for you to get out,,so act NOW
 
Mfano hii story iko upande mmoja kushutumu mke it seems wqnalipiziana sasa mwanaume ndo analia hasa baada ya kuchuniwa week Tatu hivi
Assumptions za nini sasa mkuu, hapa kama mahakamani tunadeal na kesi iliyo mezani kama mtuhumiwa hapatikani tunatoa hukumu in absense.

Halafu sioni sababu za kudanganya kama kweli ana nia ya kutatua tatizo.
 
yani mke hana utiifu...huyo mi nafyekelea mbali sihitaji ujinga.....dharau hizo pia kufikisha kwao kil akitu,..akaolewe kwao basi..nakupongeza hujaleta thread ya kulialia kuwa hujui ufanye nini bali maamuzi unayajua ...pole pia ila komaa wewe ndio mtawala wa familia mwanamke anatakiwa akutiii akuheshimu
 
Madame sina sababu hata chembe ya kusingizia...I do believe kwamba ninamapungufu pia but visa hivyo vyote ni kweli tupu tena nimepunguza ili members wasisindwe kusoma!
anatoa mimba yuko kwenye ndoa ili tu asomeshe mdogo anayekuletea jeuri....aisee UNABIDI TU UFANYE MAAMUZI YA KIUME..AKAOLEWE NA MDOGO WAKE HUKO
 
Mkuu naona tunafanana mtazamo .....maixha mafupi sioni haja ya kuwa na stress ya kutafuta pesa pamoja na mahisiano .............mm nakupa talaka akiwa huko huko. .....ni uamuzi wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…