Nataka nifanye maamuzi magumu ya kutengana na mke wangu

Tatzo mfumo wako wa huruma awali ameuchukulia ni mapungufu
Ila (wanawake watumishi ni pasua vichwa sana )
Kama hali hyo sasa ckushaur uachane nae ila naomba uweke maamuz sahihi na mapema atavyoshindwa pga chin
Maan kama ataki kuwa supportive ktk maish yenu mwambie aache kaz atimze uwajbu ili na wew uhudumia fmlia yako kwa 100%
 
HIVI ISSUE KAMA HII NI KWELI??Daah......binafsi mm nikiwa na pesa hizo stress hata hazinisumbui aisee.....Mimi ninakua na stress ninapokua empty mfukoni na mambo yangu hayaendi....wanawake ni third option huko..
 
Haya mambo ya ndoa haya kila mtu anaugulia kivyake

Mkuu usikurupuke kwanza kumuacha mkeo ebu kaeni chini kwanza mmalize tofauti zenu

Tatizo kwenye ndoa yenu kila mmoja yupo juu hilo ndio tatizo kubwa mwanamke ana sauti kumzidi baba

Acha kushauri ujinga, hakuna cha kuzungumza..solution ya mtoa mada ni kumwacha mkewe tu bhasi, biblia inasema mwanamke mjinga ataivunja ndoa yake kwa.... Shunie
 
Mpandishe cheo braza awe Bi Mkubwa labda atapata akili.
 
Qumamaqe mkuu ww unamoyo sana tena mvumilivu sana ila ingekua ni mimi ningeshaifukuza hyo rubish
 
UKIONA FAMILIA YA MKE INAKUHESHIMU BASI UJUE MKEO ANAKUHESHIMU SANA...HATA MBELE YAO...

LAKINI UKIONA WANAKULETEA DHARAU...BASI KUNA MWINGINE WA MAANA WANAMHESHIMU ZAIDI YAKO...NA HIVYO HAWANA DINI...

HUYO MWANAMKE KITENDO CHA KUFANYA MAMBO YAKE BILA IDHNI YANGU...NI KWAMBA AMEAMUA KUANZA MAISHA YAKE MWENYEWE...MIMI NINGEMSINDIKIZA...

HAYA NDIO MADHARA YA MWANAMKE MSOMI...
 
Siendagi double standard ningependa na kusikia story kwa upande wa pili yani ke naye ana lipi la kusema then ndo jf tuhukumu
 
Siku akurudi jifanye ulimmiss kama una gari jioni mtoe out mle mnywe mnunulie na zawadi mkiwa mnarudi nyumbani tembea 100kph tafuta mti au nguzo ya umeme lengesha ubamize upande wake, usumbufu wote utaisha!
Naongezea hapa mkuu na ampetipeti mpaka uyo mama ashau kufunga mkabda ili akichomoka kwenye kioo achomoke kweli kweli
 
Unajua shunie . Hapa inaonekana bi dada kiburi kimemjaa hadi kwenye nywele . Yaani hajali tena wala nn. Nahisi hata wakiitana waongee.. bado hatomsikiliza
Haya mambo ya ndoa haya kila mtu anaugulia kivyake

Mkuu usikurupuke kwanza kumuacha mkeo ebu kaeni chini kwanza mmalize tofauti zenu

Tatizo kwenye ndoa yenu kila mmoja yupo juu hilo ndio tatizo kubwa mwanamke ana sauti kumzidi baba
 
Pole mkuu. How is it? Hakuona aib ?.alokutafuta?
 
Haya mambo ya ndoa haya kila mtu anaugulia kivyake

Mkuu usikurupuke kwanza kumuacha mkeo ebu kaeni chini kwanza mmalize tofauti zenu

Tatizo kwenye ndoa yenu kila mmoja yupo juu hilo ndio tatizo kubwa mwanamke ana sauti kumzidi baba
Sasa madame shunie hapo alipofikia jamaa ana umuhimu gani wa kukaa chini?, Mke mimba katoa, ana matusi, hajui kunyenyekea, Hana nidhamu huyu wa nini? Arudishe kwao haraka Sana wanaume hatuoi ili kutafuta matatizo Bali faraja.
 
pole mkuu japo tumekusoma wewe tu hatujui ya upande wa pili.
 
Jaribu kuwa mwaminifu tuelezee na mapungufu yako kwake ambayo umemfanyia ili tukupe ushauri wa jumla jumlaaaaaaa!
 
Me nakutakia kila LA kheri katika uamuzi wako, Mungu akujaalie upate mke mwema wa hitaji LA moyo wako hapo baadae.
 
Kwa kawaida mwanamke ndugu zake ndiyo suluhisho, ndugu zake wakimwambia kitu anaelewa zaidi kuliko mtu mwingine yeyote! Sasa huyo keshawapanda na ndugu zake, hana mshauri tena!! Hafai tena coz hata aanzishe tatizo la namna gani ndugu zake watasimama nae.

Cases kama hizi suluhisho ni divorce ya kimya kimya! Unampa mateso, si upo mbali nae? Nenda kazini tulia kimyaaa usimtafute usifanye kitu ikaonekana una kosa yeye kaanza hapoke simu basi kausha, usitoe huduma wala usitake kujua lolote kutoka kwake au kwao! Akikupigia simu mshangae na umuulize we nani coz anajivunia anajua unampenda sana!!

Tafuta demu wako dulia, jenga maisha kivingine!!
 
Mkuu hata mie ningetamani niyajue mapungufu yangu japo najua ninayo tena mengi, hebu nisaidie ndugu yangu ni mapungufu yepi yanahalalisha hayo niliyoyaongelea??
Jaribu kuwa mwaminifu tuelezee na mapungufu yako kwake ambayo umemfanyia ili tukupe ushauri wa jumla jumlaaaaaaa!
 
Mkuu hata mie ningetamani niyajue mapungufu yangu japo najua ninayo tena mengi, hebu nisaidie ndugu yangu ni mapungufu yepi yanahalalisha hayo niliyoyaongelea??
Nilimaanisha tungependa kusikia na malalamiko ya mkeo pia.. Tuskilize pande zote mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…