Nataka nifanye maamuzi magumu ya kutengana na mke wangu

wanawake wengi kwa nini ukibali mateso??? tafuta kwanza mwanamke halafu huyo piga chini
... ila usithubutu kumuacha mkeo halafu hujapata mwengine utakuja juta
 
Nimejipanga kila idara kuhakikisha kuwa nitakapokamilisha kuvunja muungano kila kitu kinakwenda sawa.....huu muungano niwakinyonyaji nimeumia muda mrefu...
wanawake wengi kwa nini ukibali mateso??? tafuta kwanza mwanamke halafu huyo piga chini
... ila usithubutu kumuacha mkeo halafu hujapata mwengine utakuja juta
 
Tatizo kuu mwanamke ana sauti kuliko mume
Unajua shunie . Hapa inaonekana bi dada kiburi kimemjaa hadi kwenye nywele . Yaani hajali tena wala nn. Nahisi hata wakiitana waongee.. bado hatomsikiliza
 
Chukua mke rudisha kwao waambie hamjanioa mimi ndiye nimeoa, kama mnataka kumtafutia mwanaume mwingine wa kuweza kumwendesha namna hiyo mtafuteni. Ila si mimi, bakini na mtoto wenu msubiri ndoa nyingine ya kuiendesha mtakavyo.

Jifyatue akili tu, usikubali kuumia na kuwa na msongo wa mawazo. Swaga mwanamke na mdogo wake kwao, hao wanataka wakutumie tu kutimiza mahitaji yao.
 
Hizi ID tunazoweka zinaendana na matatizo yetu. Pole kwa matatizo. Haya mambo ya kusomesha ndugu wa mwanamke wakati mwingine ndo chanzo cha matatizo kwenye family
 
Kuna Malaya mmoja aliniambiaga kwenye maisha ukikosa msimamo utayumbishwa sana. Sasa mkuu wewe ni mwanaume inabidi ukuwe na msimamo vinginevyo huyo malaya atakuyumbisha sana. Hakufai huyo piga chini na kama ukishindwa kumuacha usije na usi mwingine hapa ukisema umechoka kuvumilia.
 
Nikwambie kitu,wala usiwe na haraka kutafuta mtu,unaweza pata majanga mengine...mkitemgana jipe muda kwanza,usikurupuke,wala usimuonyeshe km una mtu mwingine kwanza!
Panga vzr mambo yako,mnatengana ki ustaarabu tu,kwa muda huwezi jua atakapoona upo mbali ya mkini ataona umhim wako na atajirekebisha labda!
Nimejipanga kila idara kuhakikisha kuwa nitakapokamilisha kuvunja muungano kila kitu kinakwenda sawa.....huu muungano niwakinyonyaji nimeumia muda mrefu...
 
Usiwaite ndugu kabisa,option nyingine...we jipange tu,siku anarudi akute kufuli mlangoni na usimruhusu kuingia ndani,mwambie mnaenda kwao....then mkifika kwao waambie ww umeshindwa umemrudisha ajitathimini,hakuna mjadala wala suluhu,then sepa zako!
Mrudishe kwao,usikubali kikao wao si wanamtetea!

Mwanake akishaanza kugongwa nje tu basiii,kiburi huwa juu
Asante....mawazo ya kutokuwaita ndugu zake yameanza kunijia(kumbuka ndugu zangu hawajui japo juzi nimewaeleza kifupi kuwa hatupo sawa).....kwani mali si nilitoa mie then wanataka kunipelekesha anaweza kuta siku anakuja nimetia kufuli
 
Tatizo ni kuwa tunaishi mbali na wazazi wa pande zote! Yaani tunatoka sehemu moja but tupo MKOA mwingine!
 
Kingine nilisahau kuanzia sasa!
Usimpigie cm,wala msj,wala kumtafuta kwa namna yyt ile,wala kumuuliza chochote atakaporudi!

Utaona reaction yake,hii dawa nzuri sn! Jikaze kiume
 
Naweza kuwasaidia kwa kuwapa professional advice and kulimaliza hilo tatizo kabisa, but not free
 
Kuna wanaume ni wapole sana...! Nitakung'oa meno ukinifanyia jeuri huwa napiga kama jackcheni.
 
Nitamsamehe mwanamke kwa kosa la aina yeyote ile lakini kosa la kunidharau sitakaa nimsamehe na bahati mbaya nina tabia ya kutoa adhabu papo hapo..

Moyo wangu umeumbiwa kuvumilia mengi lakini kitu dharau haukuumbiwa kuvumilia hasilan!
 
Hiyo sio ndoa. Ila sidhani kuita ndugu ni suluhuhisho. Ishi na ww maisha yako, akiamua kuita ndugu muachane well and good. Asipotaka ni vyema zaidi. Unakosa furaha na amani wakati mwenzio anaponda raha.

Acheni mahaba niue, unawatia simanzi wazazi wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…