Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
Itakuwa mimba ilikuwa sio ya mume wakeKweli hela nyoko,unatoa mimba uko kwenye ndoa??!!?!👀👀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa mimba ilikuwa sio ya mume wakeKweli hela nyoko,unatoa mimba uko kwenye ndoa??!!?!👀👀
wanawake wengi kwa nini ukibali mateso??? tafuta kwanza mwanamke halafu huyo piga chini
... ila usithubutu kumuacha mkeo halafu hujapata mwengine utakuja juta
Unajua shunie . Hapa inaonekana bi dada kiburi kimemjaa hadi kwenye nywele . Yaani hajali tena wala nn. Nahisi hata wakiitana waongee.. bado hatomsikiliza
Chukua mke rudisha kwao waambie hamjanioa mimi ndiye nimeoa, kama mnataka kumtafutia mwanaume mwingine wa kuweza kumwendesha namna hiyo mtafuteni. Ila si mimi, bakini na mtoto wenu msubiri ndoa nyingine ya kuiendesha mtakavyo.Members naomba tu niandike kwa ufupi naamini mtanielewa na kama kuna ushauri nakaribisha.
Tumebahatika kupata mtoto mmoja 5yrs now, wote ni watumishi.
2013 akaomba nimsaidie kumtafutia shule mdogo wake wa kiume arudie kidato cha pili baada ya kufeli form four na kukaa nyumbani miaka karibu mitatu nikafanya hivyo, baada ya muda shemeji akaanza dharau na kiburi kwangu tena mbele ya Dada yake, nikilalamika Dada mtu anachukulia poa, nikavumilia baada ya muda mfupi kapigwa suspension akapiga magoti nimsaidie asifukuzwe shule, nilipoona habadiliki nikajitoa kumsaidia but ilikuwa ni baada ya Dada yake kusema kama naona taabu ye atalipa ninamsema sana mdogo wake.
Dogo kamaliza na division 3 point 26, wakaomba chuo cha afya government wakakosa, huruma ikanijia nikamwambia Dada mtu aende private kidato cha tano akakataa akakomalia kuwa anampeleka chuo cha afya private kama 4 million ada na mahitaji mengine nikamwambia haitawezekana hali ni ngumu kiuchumi aende advance.... nikaambulia matusi kuwa nina "gubu" na maendeleo ya mdogo wake na nisijali yeye na ndugu zake watalipa ( by this time tulikuwa tupo mbali sababu za uhamisho), mi nikaona nisiingilie ndugu.
Kumbe hakuna lolote yeye ndo mlipaji wa kila kitu, nikaja jua baadaye kuwa amekopa bank bila kunijulisha na pesa sijajua kafanyia nini kumuuliza anasema anasomesha......sijakaa sawa kumbe alikokuwa mwanzo kakopa pesa za watu million mbili kwa ajili ya jambo hilo na hajarejesha hadi sasa pamoja na riba inafika nearly 4 million.
Ametoa mimba ili aweze kujikeep busy na biashara nje ya kazi ili kuweza kugharamia masomo ya mdogo wake nilipobaini anasema maisha magumu tusubiri kwanza nilipombana anasema bahati mbaya....uwongo...
Nilisafiri nikarudi ghafla bila taarifa nakuta anaongea na mwanaume kwa simu SAA saba usiku tena anamwomba amsaidie pesa alipe ada......
Mbaya zaidi nyumbani kwangu amegoma kusaidia chochote anasema si kazi yake kufanya majukumu ya kifamilia Mimi kama baba natakiwa nitekeleze kila kitu akifanya ni huruma tu.....
Kila linaloendelea kwangu anawajulisha ndugu zake ( baba, mama na Dada zake), nikichukua hatua hata za kumzaba kidogo ili tuheshimiane basi kesho asubuhi kama ilikuwa ni usiku ntapokea simu za hao watu wakinishutumu nikiwaeleza yaliyojili inaonekana mi ndo nakosea....
Amesafir kikazi wiki ya tatu sasa simu hapokei, SMS, hajibu akipokea haongei....
Namsubir arudi niite ndugu pande zote mbili niwambie nimeshindwa....kweli wanaume tumeumbwa mateso!!
Mkwara mbuzi...hana lolote[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ana mkwara balaa...[emoji4]
RightItakuwa mimba ilikuwa sio ya mume wake
Hapo mnapoishi mmepanga au ni nyumba yenu?Mkuu hata mie ningetamani niyajue mapungufu yangu japo najua ninayo tena mengi, hebu nisaidie ndugu yangu ni mapungufu yepi yanahalalisha hayo niliyoyaongelea??
Nimejipanga kila idara kuhakikisha kuwa nitakapokamilisha kuvunja muungano kila kitu kinakwenda sawa.....huu muungano niwakinyonyaji nimeumia muda mrefu...
Asante....mawazo ya kutokuwaita ndugu zake yameanza kunijia(kumbuka ndugu zangu hawajui japo juzi nimewaeleza kifupi kuwa hatupo sawa).....kwani mali si nilitoa mie then wanataka kunipelekesha anaweza kuta siku anakuja nimetia kufuli
Tatizo ni kuwa tunaishi mbali na wazazi wa pande zote! Yaani tunatoka sehemu moja but tupo MKOA mwingine!Usiwaite ndugu kabisa,option nyingine...we jipange tu,siku anarudi akute kufuli mlangoni na usimruhusu kuingia ndani,mwambie mnaenda kwao....then mkifika kwao waambie ww umeshindwa umemrudisha ajitathimini,hakuna mjadala wala suluhu,then sepa zako!
Mrudishe kwao,usikubali kikao wao si wanamtetea!
Mwanake akishaanza kugongwa nje tu basiii,kiburi huwa juu
Naweza kuwasaidia kwa kuwapa professional advice and kulimaliza hilo tatizo kabisa, but not freeMembers naomba tu niandike kwa ufupi naamini mtanielewa na kama kuna ushauri nakaribisha.
Tumebahatika kupata mtoto mmoja 5yrs now, wote ni watumishi.
2013 akaomba nimsaidie kumtafutia shule mdogo wake wa kiume arudie kidato cha pili baada ya kufeli form four na kukaa nyumbani miaka karibu mitatu nikafanya hivyo, baada ya muda shemeji akaanza dharau na kiburi kwangu tena mbele ya Dada yake, nikilalamika Dada mtu anachukulia poa, nikavumilia baada ya muda mfupi kapigwa suspension akapiga magoti nimsaidie asifukuzwe shule, nilipoona habadiliki nikajitoa kumsaidia but ilikuwa ni baada ya Dada yake kusema kama naona taabu ye atalipa ninamsema sana mdogo wake.
Dogo kamaliza na division 3 point 26, wakaomba chuo cha afya government wakakosa, huruma ikanijia nikamwambia Dada mtu aende private kidato cha tano akakataa akakomalia kuwa anampeleka chuo cha afya private kama 4 million ada na mahitaji mengine nikamwambia haitawezekana hali ni ngumu kiuchumi aende advance.... nikaambulia matusi kuwa nina "gubu" na maendeleo ya mdogo wake na nisijali yeye na ndugu zake watalipa ( by this time tulikuwa tupo mbali sababu za uhamisho), mi nikaona nisiingilie ndugu.
Kumbe hakuna lolote yeye ndo mlipaji wa kila kitu, nikaja jua baadaye kuwa amekopa bank bila kunijulisha na pesa sijajua kafanyia nini kumuuliza anasema anasomesha......sijakaa sawa kumbe alikokuwa mwanzo kakopa pesa za watu million mbili kwa ajili ya jambo hilo na hajarejesha hadi sasa pamoja na riba inafika nearly 4 million.
Ametoa mimba ili aweze kujikeep busy na biashara nje ya kazi ili kuweza kugharamia masomo ya mdogo wake nilipobaini anasema maisha magumu tusubiri kwanza nilipombana anasema bahati mbaya....uwongo...
Nilisafiri nikarudi ghafla bila taarifa nakuta anaongea na mwanaume kwa simu SAA saba usiku tena anamwomba amsaidie pesa alipe ada......
Mbaya zaidi nyumbani kwangu amegoma kusaidia chochote anasema si kazi yake kufanya majukumu ya kifamilia Mimi kama baba natakiwa nitekeleze kila kitu akifanya ni huruma tu.....
Kila linaloendelea kwangu anawajulisha ndugu zake ( baba, mama na Dada zake), nikichukua hatua hata za kumzaba kidogo ili tuheshimiane basi kesho asubuhi kama ilikuwa ni usiku ntapokea simu za hao watu wakinishutumu nikiwaeleza yaliyojili inaonekana mi ndo nakosea....
Amesafir kikazi wiki ya tatu sasa simu hapokei, SMS, hajibu akipokea haongei....
Namsubir arudi niite ndugu pande zote mbili niwambie nimeshindwa....kweli wanaume tumeumbwa mateso!!
Kuna wanaume ni wapole sana...! Nitakung'oa meno ukinifanyia jeuri huwa napiga kama jackcheni.Usiwaite ndugu kabisa,option nyingine...we jipange tu,siku anarudi akute kufuli mlangoni na usimruhusu kuingia ndani,mwambie mnaenda kwao....then mkifika kwao waambie ww umeshindwa umemrudisha ajitathimini,hakuna mjadala wala suluhu,then sepa zako!