Nataka nifuge kondoo dume na mbuzi mkoa wa Tanga

Nataka nifuge kondoo dume na mbuzi mkoa wa Tanga

bahati mbaya huwa hawapati joto wakati mmoja kila mmoja kivyake , bora uwaachie madume tu halafu knye kuuza uwasubirishe uwauze kwa pamoja
Hapana. Ukiwatengea na madeume miezi 2. Halafu ukaingiza madume. Watazaa wote mwezi mmoja. Siku ndio watatofautiana.
 
Back
Top Bottom