Nataka nifunge zuku fiber ofrisin vipi speed yao ipo poa au wanga tu

Speed tayari umeambiwa ni 10mbps, fiber unapewa Dedicated speed. Na ukiwa mlipaji mzuri kabla kifurushi hakija Expire wanakupa double speed 20mbps.
But according to my university notes, ETHERNET cable has got a maximum speed of 100mbps.

Now how comes fiber (advanced technology) provides only 10mbps
 
Ukitaka kipo kifurushi cha 100mbps pia, fiber zinaenda 10GBps hapa kwetu ama zaidi.

Sababu fiber ni unlimited wanapima kwa speed vifurushi.
-cha 10mbps ni 69,000
-cha 50mbps ni around laki 1 na something
-cha 100mbps ni around laki 2 na something etc

Kama unataka Hizo GBPS unawasiliana na TTCL wanatoa hizo huduma.
 
Hivi fiber ndo kusema bado hawajaweza kuwa na mitambo ya ku supply pembezoni mwa jiji ukiachana na city center hapo?

Kikwazo ni nini haswa?
 
Wateja, Kariakoo yenyewe watu wanachanga ili kuafford, maduka kadhaa yananunua package moja mtu analipa 10k ama 20k ndio maana wanaweza pata faida.

Ukipeleka mtaani huko mtaa mzima unaweza pata wateja wawili ama watatu, ngumu ku cover cost.

Hapo ndio TTCL na Serikali inabidi waplay part yao, Nchi nyingi zilizoendelea kampuni zinazosupply internet vijijini ama mahala kwenye watu wachache hupewa ruzuku.
 
Sasa mbona kama ni hivyo sioni ugumu wa wao kutoleta huduma mitaani, maana kwa hali ambayo tumefikia saizi ya GB1 2500 simuoni mtu ambaye hayuko tayari kuchangia 10k kwa mwezi alafu anapewa unlimited

Wakisogeza huduma, mitandao ya simu itashtukia tu biashara yao imepungua wateja
 
Biashara zina mambo mengi mkuu, je wakileta hizo huduma halafy vifurushi vikashuka?
 
Ukitaka kipo kifurushi cha 100mbps pia, fiber zinaenda 10GBps hapa kwetu ama zaidi.

Sababu fiber ni unlimited wanapima kwa speed vifurushi.
-cha 10mbps ni 69,000
-cha 50mbps ni around laki 1 na something
-cha 100mbps ni around laki 2 na something etc

Kama unataka Hizo GBPS unawasiliana na TTCL wanatoa hizo huduma.
Nadhani hizi bei ni kwa shared. Dedicated for that price??? I doubt
 
Back
Top Bottom