Nataka nifunge zuku fiber ofrisin vipi speed yao ipo poa au wanga tu

Nataka nifunge zuku fiber ofrisin vipi speed yao ipo poa au wanga tu

Unaifaham huduma ya microwave?

Yaani mfano mteja nipo remote street, tuseme Kimara Suka. Ambako Zuku fiber hawajafika.

Wananifungia microwave dish (dedicated link) kutoka kwenye ACCESS POINT yao hadi kwangu. Hujawahi isikia?

Mzee unataka kufunga p2p nyumbani...utaweza kweli gharama zake maana utakuwa considered kama BE customer na hata infra zake mfano inabidi unyanyue bomba refu ili utafute LoS...
 
Liquid huduma kwa mteja ni mbovu, there is a reason kwanini kila mtu ana Zuku Hapa Mjini.

Mimi huwa naona huu ni ugonjwa wa sehemu nyingi bongo...

Mfano last week nilikuwa nataka kupata huduma ya afya kwa appointment hospitali binafsi, jamaa wameweka namba zao za whatsapp, namba ya mezani n.k...ukipiga simu inaita haipokelewi, whatsapp ujumbe unafika lakini hakuna replies...

Sasa hiyo ni sehemu nyeti yenye reputation kubwa kabisa...
 
Contacts za watoa huduma bongo huwa ni formality tu! Utapiga simu mpaka upandwe na wazimu😅😅😅 yani kama unaipigia maiti simu
 
sio mbaya.
sema route zao hazina features nyingi...
Screen Shot 2021-11-25 at 11.06.44.png
 
But according to my university notes, ETHERNET cable has got a maximum speed of 100mbps.

Now how comes fiber (advanced technology) provides only 10mbps
ulienda chuo kulala/kukariri notes we mzee
 
ISP mwenye speed ya 10MBps hawezi kukupa free installation au kwa bei hiyo wanayokwambia, labda wamekwambia 10Mbps mabayo ni sawa na 1.25MBps
kama unayo Routers yako mwenyewe iliyokidhi vigezo vyao kwann isiwezekane
ZUKU wapp really sio blahblah na speed yao wakikuambia 10MBps basi ni hivyohvyo ni wewe tu kulipa kwa wakati bila usumbufu
 
Kutokana na trend vifurushi sio rahisi kushuka.

Na hivi vifurushi vya kununua kidogokidogo kinarudisha nyuma mambo mengi.

Wifi ilitakiwa iwepo kwenye mabar, restaurants, night clubs, wedding halls, petrol stations, accademic institutions, public spaces, makanisa na misikiti. Kuna ofisi ndogo hazipo mjini kati na zinahitaji reliable and cheap internet. Na kuna watu wanafanyia kazi nyumbani, internet ilitakiwa iwepo 24/7. Kuna smart devices siku hizi zinahitaji internet all the time kama tv, friji.

Hizi internet za kununua kwa kudunduliza, ni hasara kwakweli.

Yani internet haitakiwi kuonekana ni kitu luxury.
Mkuu Fiber inaChimbiwa Chini kama dawasco, imagine tu kutoa Mfereji Mjini mpaka mwananyamala, gharama kiasi gani? Bado waya za Fiber, Nguzo, manpower, Router na mambo mengine kibao. Sina Cost za kibongo bongo sababu hawapo wazi ila kwa nchi za Wenzetu inaweza fika Hadi milioni 200 kwa KM, ila sababu huko ulaya manpower ni gharama sana assume huku haitafika hivyo, ila still ni hela Kubwa, kwa Cost ya 70,000 kwa mwezi unaweza pata watu angalau 1000 mwananyamala?

Ila kwa serikali Hio ni Hela Ndogo TTCL wanaweza Fikisha Fiber hadi hayo Maeneo na kampuni Binafsi zikawa zinasupply tu Mtaani.
 
Mimi huwa naona huu ni ugonjwa wa sehemu nyingi bongo...

Mfano last week nilikuwa nataka kupata huduma ya afya kwa appointment hospitali binafsi, jamaa wameweka namba zao za whatsapp, namba ya mezani n.k...ukipiga simu inaita haipokelewi, whatsapp ujumbe unafika lakini hakuna replies...

Sasa hiyo ni sehemu nyeti yenye reputation kubwa kabisa...
Hao raha (Liquid) tuliwabembeleza wee waje wafunge Fiber kipindi hicho Zuku bado hajakuja kkoo wanaringa kweli, Zuku alivyokuja hata uwapigie simu saa 9 mchana wanakuja kufunga siku hio hio tena Bure. Baada ya Miezi 3 eti Raha ndo wanakuja, Advantage ya Raha ni 10,000 over zuku na sijui kama bado wana installation fee.

Pia zuku bado network yao haijajaa kabisa, ukiunga 10mbps kwa 69000 ukalipa tena kabla hakija expire wapigie wana double speed mpaka 20mbps kwa bei hio hio.
 
Hakuna mtu ambaye ametumia fiber anayeweza kuvumulia speed ya mitandao ya simu, mtu utoke kwenye unlimited halafu uje kwenye vifurushi vya kupimiwa ambavyo haviko costant vinapanda kama dollar
Mkuu hapo unajiongelea wewe, kuna Watu internet ni Insta, FB na whatsapp kamaliza toka anunue simu hata ile browser hajawahi kuifungua.
 
Unaifaham huduma ya microwave?

Yaani mfano mteja nipo remote street, tuseme Kimara Suka. Ambako Zuku fiber hawajafika.

Wananifungia microwave dish (dedicated link) kutoka kwenye ACCESS POINT yao hadi kwangu. Hujawahi isikia?
Kkoo zilitumika sana kabla ya ujio wa Fiber, ila nazo zinahitaji Access point iwe karibu na Kimara sidhani kama unaweza idirect toka kkoo hadi Kimara.
 
Mkuu Fiber inaChimbiwa Chini kama dawasco, imagine tu kutoa Mfereji Mjini mpaka mwananyamala, gharama kiasi gani? Bado waya za Fiber, Nguzo, manpower, Router na mambo mengine kibao. Sina Cost za kibongo bongo sababu hawapo wazi ila kwa nchi za Wenzetu inaweza fika Hadi milioni 200 kwa KM, ila sababu huko ulaya manpower ni gharama sana assume huku haitafika hivyo, ila still ni hela Kubwa, kwa Cost ya 70,000 kwa mwezi unaweza pata watu angalau 1000 mwananyamala?

Ila kwa serikali Hio ni Hela Ndogo TTCL wanaweza Fikisha Fiber hadi hayo Maeneo na kampuni Binafsi zikawa zinasupply tu Mtaani.
Daah kama process iko hivyo basi siwalaumu
 
Back
Top Bottom