Nataka nifunge zuku fiber ofrisin vipi speed yao ipo poa au wanga tu

Je, wewe umevuta? Unawalaumu wengine tu. Anza wewe uwe mfano, kisha washawishi wengine. Lead by example!
Wazo zuri, ila unavutaje kwenye jengo lisilo lako?.
 
Karibuni sana niwahudumie .. nipo zuku fiber pia muhimu uwe kariakoo,city center,msasani,mikocheni,masaki,oysterbay,upanga.na kinondoni ada estate... katibu sana kama una swali njoo pm..

mkuu ulotoa post karibu nkuhudumie hutajutia is the best
 
Maswali yajibiwe hapahapa kwa faida ya jf.
Huko pm ndio mwanzo wa kupigwa.
Nasilizia majibu
 
Karibuni sana niwahudumie .. nipo zuku fiber pia muhimu uwe kariakoo,city center,msasani,mikocheni,masaki,oysterbay,upanga.na kinondoni ada estate... katibu sana kama una swali njoo pm..

mkuu ulotoa post karibu nkuhudumie hutajutia is the best
Mie niko Manzese nataka hizo mambo home
 
Karibuni sana niwahudumie .. nipo zuku fiber pia muhimu uwe kariakoo,city center,msasani,mikocheni,masaki,oysterbay,upanga.na kinondoni ada estate... katibu sana kama una swali njoo pm..

mkuu ulotoa post karibu nkuhudumie hutajutia is the best
Mna plan ya kuja Dom lini??
 
Mbezi beach inakuja..na kwa wa nje ya dar basi kama unaweza ku afford 150,000 kwa mwezi unlimited internet 10mbps ..nicheki.. ni wireless hiyo
Kwanini hii ya wireless msituwekee wa dsm ambao tupo nnje ya coverage
 
Ipo Startup company ya Singapore ina provide wireless fiber in the Sky. Speed inaanzia 1Gbps na Installation yake ni ndani ya 1-4 hours. Hii kampuni ikija Tanzania itaweza fikia watu wengi sana.
Inaitwaje mzee
 
Kutokana na trend vifurushi sio rahisi kushuka.

Na hivi vifurushi vya kununua kidogokidogo kinarudisha nyuma mambo mengi.

Wifi ilitakiwa iwepo kwenye mabar, restaurants, night clubs, wedding halls, petrol stations, accademic institutions, public spaces, makanisa na misikiti. Kuna ofisi ndogo hazipo mjini kati na zinahitaji reliable and cheap internet. Na kuna watu wanafanyia kazi nyumbani, internet ilitakiwa iwepo 24/7. Kuna smart devices siku hizi zinahitaji internet all the time kama tv, friji.

Hizi internet za kununua kwa kudunduliza, ni hasara kwakweli.

Yani internet haitakiwi kuonekana ni kitu luxury.
You said it all! ☑️
 
Back
Top Bottom