Nataka nifunge zuku fiber ofrisin vipi speed yao ipo poa au wanga tu

Ukitaka kipo kifurushi cha 100mbps pia, fiber zinaenda 10GBps hapa kwetu ama zaidi.

Sababu fiber ni unlimited wanapima kwa speed vifurushi.
-cha 10mbps ni 69,000
-cha 50mbps ni around laki 1 na something
-cha 100mbps ni around laki 2 na something etc

Kama unataka Hizo GBPS unawasiliana na TTCL wanatoa hizo huduma.
Natumia hii kitu

The best I have ever have
 
Ukitaka kipo kifurushi cha 100mbps pia, fiber zinaenda 10GBps hapa kwetu ama zaidi.

Sababu fiber ni unlimited wanapima kwa speed vifurushi.
-cha 10mbps ni 69,000
-cha 50mbps ni around laki 1 na something
-cha 100mbps ni around laki 2 na something etc

Kama unataka Hizo GBPS unawasiliana na TTCL wanatoa hizo huduma.
Unaifaham huduma ya microwave?

Yaani mfano mteja nipo remote street, tuseme Kimara Suka. Ambako Zuku fiber hawajafika.

Wananifungia microwave dish (dedicated link) kutoka kwenye ACCESS POINT yao hadi kwangu. Hujawahi isikia?
 
Microwave lazima wawe na tower karibu pia.

Hii nayo inakuwa comon sehem ambazo hazina fiber.
 
Wateja, Kariakoo yenyewe watu wanachanga ili kuafford, maduka kadhaa yananunua package moja mtu analipa 10k ama 20k ndio maana wanaweza pata faida.

Ukipeleka mtaani huko mtaa mzima unaweza pata wateja wawili ama watatu, ngumu ku cover cost.

Hapo ndio TTCL na Serikali inabidi waplay part yao, Nchi nyingi zilizoendelea kampuni zinazosupply internet vijijini ama mahala kwenye watu wachache hupewa ruzuku.
Nadhani ni awareness tu huwa watu hawana.

Unaweza kuta familia wanatumia 60k ya internet each, sasa wanashindwa vipi kufunga ya 69k? Nadhani kuna shida kwenye awareness hasa kwenye mambo ya internet.
 
Biashara zina mambo mengi mkuu, je wakileta hizo huduma halafy vifurushi vikashuka?
Kutokana na trend vifurushi sio rahisi kushuka.

Na hivi vifurushi vya kununua kidogokidogo kinarudisha nyuma mambo mengi.

Wifi ilitakiwa iwepo kwenye mabar, restaurants, night clubs, wedding halls, petrol stations, accademic institutions, public spaces, makanisa na misikiti. Kuna ofisi ndogo hazipo mjini kati na zinahitaji reliable and cheap internet. Na kuna watu wanafanyia kazi nyumbani, internet ilitakiwa iwepo 24/7. Kuna smart devices siku hizi zinahitaji internet all the time kama tv, friji.

Hizi internet za kununua kwa kudunduliza, ni hasara kwakweli.

Yani internet haitakiwi kuonekana ni kitu luxury.
 
Sasa mbona kama ni hivyo sioni ugumu wa wao kutoleta huduma mitaani, maana kwa hali ambayo tumefikia saizi ya GB1 2500 simuoni mtu ambaye hayuko tayari kuchangia 10k kwa mwezi alafu anapewa unlimited

Wakisogeza huduma, mitandao ya simu itashtukia tu biashara yao imepungua wateja
Yani hii kitu ni fursa nzuri sana kwa watu wenye hela kuinvest halafu sidhani hata kama ni hela nyingi! With less than 500m unaweza anzisha proper business kabisa ukawa unasambaza majumbani.

Watu wapo tayari kulipa elfu 10 ukiwahakikishia unlimited access ya internet isio na vikwazo vya speed mara kupunguzwa au ushuzi gani! Watu wana ma smart tv wanataka tazama Netflix na ma youtube.
 
Kutokana na trend vifurushi sio rahisi kushuka.

Na hivi vifurushi vya kununua kidogokidogo kinarudisha nyuma mambo mengi.

Wifi ilitakiwa iwepo kwenye mabar, restaurants, night clubs, wedding halls, petrol stations, accademic institutions, public spaces, makanisa na misikiti. Kuna ofisi ndogo hazipo mjini kati na zinahitaji reliable and cheap internet. Na kuna watu wanafanyia kazi nyumbani, internet ilitakiwa iwepo 24/7.

Hizi internet za kununua kwa kudunduliza, ni hasara kwakweli.

Yani internet haitakiwi kuonekana ni kitu luxury.
Mie ningekuwa na mtaji ningeingia humo bila kusita. Ningefatilia vibali tu na kuanza kulamba vichwa! Internet ni muhimu sana kwa maisha ya sasa.

Nashangaa wenzetu wanavyoifanya kama anasa vile tena ukiamua kuiuza kwa reja reja kama mitandao ya simu unaweza ukaitwa freemason ndani ya muda mchache sana nchini!
 
Yani hii kitu ni fursa nzuri sana kwa watu wenye hela kuinvest halafu sidhani hata kama ni hela nyingi! With less than 500m unaweza anzisha proper business kabisa ukawa unasambaza majumbani.

Watu wapo tayari kulipa elfu 10 ukiwahakikishia unlimited access ya internet isio na vikwazo vya speed mara kupunguzwa au ushuzi gani! Watu wana ma smart tv wanataka tazama Netflix na ma youtube.
Nina uhakika kuna wateja wengi mno nje ya mji.

Sema hakuna marketing ya maana inafanyika kuwafanya wao watambue kwamba ni potential clients na jinsi internet ni basic need kwao.
 
Mie ningekuwa na mtaji ningeingia humo bila kusita. Ningefatilia vibali tu na kuanza kulamba vichwa! Internet ni muhimu sana kwa maisha ya sasa.

Nashangaa wenzetu wanavyoifanya kama anasa vile tena ukiamua kuiuza kwa reja reja kama mitandao ya simu unaweza ukaitwa freemason ndani ya muda mchache sana nchini!
Inawezekana ni fursa moja wapo ya kutoka.

Ila hatujajua pa kuanzia.
 
Habari wadau

Zuku wamekuja ofisin leo wametuambia tulipie 69000 ili watuunge na fiber ya 10MB/S vp speedd yao nzur au utopolo

Nasubiri ushauri wenu wadau

10MBps mbona spidi ndogo...kwa pesa unayolipa...

Jaribu kucheck na ISP's wengine kama Liquid ambao kwa pesa hiyo unapata 20MBps kwa bei hiyo hiyo
 
Ukitaka kipo kifurushi cha 100mbps pia, fiber zinaenda 10GBps hapa kwetu ama zaidi.

Sababu fiber ni unlimited wanapima kwa speed vifurushi.
-cha 10mbps ni 69,000
-cha 50mbps ni around laki 1 na something
-cha 100mbps ni around laki 2 na something etc

Kama unataka Hizo GBPS unawasiliana na TTCL wanatoa hizo huduma.
Installation ni million 1 na laki 4 ndio shida TTCL
 
Back
Top Bottom