Nataka nifunge zuku fiber ofrisin vipi speed yao ipo poa au wanga tu

Je, wewe umevuta? Unawalaumu wengine tu. Anza wewe uwe mfano, kisha washawishi wengine. Lead by example!
Wazo zuri, ila unavutaje kwenye jengo lisilo lako?.
 
5mbps ni nzuri? Fibre.
Inategemea na matumizi.

Inastream chochote kwa HD ya kawaida. Utaangalia netflix, youtube, mpira na mengineyo kwa 1280x720 (HD)

Ila kwa Full HD na 4K kuanzia 25mbps inatakiwa.
 
Karibuni sana niwahudumie .. nipo zuku fiber pia muhimu uwe kariakoo,city center,msasani,mikocheni,masaki,oysterbay,upanga.na kinondoni ada estate... katibu sana kama una swali njoo pm..

mkuu ulotoa post karibu nkuhudumie hutajutia is the best
 
Maswali yajibiwe hapahapa kwa faida ya jf.
Huko pm ndio mwanzo wa kupigwa.
Nasilizia majibu
 
Karibuni sana niwahudumie .. nipo zuku fiber pia muhimu uwe kariakoo,city center,msasani,mikocheni,masaki,oysterbay,upanga.na kinondoni ada estate... katibu sana kama una swali njoo pm..

mkuu ulotoa post karibu nkuhudumie hutajutia is the best
Mie niko Manzese nataka hizo mambo home
 
Karibuni sana niwahudumie .. nipo zuku fiber pia muhimu uwe kariakoo,city center,msasani,mikocheni,masaki,oysterbay,upanga.na kinondoni ada estate... katibu sana kama una swali njoo pm..

mkuu ulotoa post karibu nkuhudumie hutajutia is the best
Mna plan ya kuja Dom lini??
 
Mbezi beach inakuja..na kwa wa nje ya dar basi kama unaweza ku afford 150,000 kwa mwezi unlimited internet 10mbps ..nicheki.. ni wireless hiyo
Kwanini hii ya wireless msituwekee wa dsm ambao tupo nnje ya coverage
 
Ipo Startup company ya Singapore ina provide wireless fiber in the Sky. Speed inaanzia 1Gbps na Installation yake ni ndani ya 1-4 hours. Hii kampuni ikija Tanzania itaweza fikia watu wengi sana.
Inaitwaje mzee
 
You said it all! ☑️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…