Nataka niingeze faida angalau Tsh 2000/= kwa siku UTT AMIS, niwekeze Tsh ngapi?

Million 7 kwa 2k kwangu hapana
Mwenzio ana Mil 2 ziko tu bank zimekaa, akichukuwa Mil 10 akaweka UTT akawa anapata 3k Kila siku Kuna hasara...?
Kwahyo hapa unapata jibu kuwa uwekezaji huu hautaki pesa za mawazo.
 
Mkuu, Mimi nimefungua
- Hesabu zinanipiga chenga, (kitu cha kufanya ondoa sifuri moja kwenye gawio kisha gawa kkwa 365 utaona hesabu inaangukia karibia 2,000 kwa siku) ila hili jedwali litasaidia
View attachment 3209428
Tafuta mtaji wa M5 sio 7

Download na jisomee: Mfuko wa Jikimu.
Chanzo: UTT
Mkuu, Mimi nimefungua
Mfuko wa UKWASI
 
Watanzania bado tuna ujinga mwingi sana aisee,yaan uweke milion 7 upate 2000 kwa siku kweli?...wakati unaweza kuwa na mtaji wa laki ukaingiza hata 5000 perday
 
Vijana acheni uoga na uvivu. Kafanyeni biashara au kilimo badala ya kuweka mamilioni ili upate Tsh 2000 kwa siku. Hizo UTT waachieni wastaafu au watu wengine waliojipata. Huwezi kuta mtanzania mwenye asili ya Asia anaongelea UTT
 
in brief mifuko yote ya utt average annual interest rate =12% , hii inamaanisha monthly average interest ni 1% kwa kuwa tushapata rate ya mwezi hivyo kile kipato tunachohitaji kila siku yaani 2,000 tukifanye kiwe kwa mwezi ambapo itakuwa tshs 60,000/= Hivyo kilichobaki ni kutafuta ambayo 60k ni 1% yake ambayo ni definitly tshs 6,000,000/=
 
Binadamu hatuzawaliwa kuteseka
 
Kwa mwaka hapo ni 720k na sio 6M.
 
Vijana acheni uoga na uvivu. Kafanyeni biashara au kilimo badala ya kuweka mamilioni ili upate Tsh 2000 kwa siku. Hizo UTT waachieni wastaafu au watu wengine waliojipata. Huwezi kuta mtanzania mwenye asili ya Asia anaongelea UTT
Malengo yanatofautiana ndugu. Hatuwezi Jua hiyo 7M aliipata kwenye nini. Kama amelima akapata faida ya 7 M, asiweke kama akiba?.

Kuna watu wanamalengo fulani, mfano nataka kununua harrier (2015) maarufu kama anaconda bei yake 70M. Wakati najikusanya badala ya kuweka fedha kwenye saving Acc ya bank ambayo hainipi faida naiweka UTT Kila nikiijazia na faida inaongezeka mpaka itakapofika 70 M naichomoa.
 
Back
Top Bottom