Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
- Thread starter
-
- #21
Mwenzio ana Mil 2 ziko tu bank zimekaa, akichukuwa Mil 10 akaweka UTT akawa anapata 3k Kila siku Kuna hasara...?Million 7 kwa 2k kwangu hapana
Mkuu, Mimi nimefungua- Hesabu zinanipiga chenga, (kitu cha kufanya ondoa sifuri moja kwenye gawio kisha gawa kkwa 365 utaona hesabu inaangukia karibia 2,000 kwa siku) ila hili jedwali litasaidia
View attachment 3209428
Tafuta mtaji wa M5 sio 7
Download na jisomee: Mfuko wa Jikimu.
Chanzo: UTT
Huo mfuko unakua kwa kasi sana tangu mwaka janaMkuu, Mimi nimefungua Mkuu, Mimi nimefungua
Mfuko wa UKWASI
NikweliMwenzio ana Mil 2 ziko tu bank zimekaa, akichukuwa Mil 10 akaweka UTT akawa anapata 3k Kila siku Kuna hasara...?
Kwahyo hapa unapata jibu kuwa uwekezaji huu hautaki pesa za mawazo.
Hii safi sana mkuu- Hesabu zinanipiga chenga, (kitu cha kufanya ondoa sifuri moja kwenye gawio kisha gawa kkwa 365 utaona hesabu inaangukia karibia 2,000 kwa siku) ila hili jedwali litasaidia
View attachment 3209428
Tafuta mtaji wa M5 sio 7
Download na jisomee: Mfuko wa Jikimu.
Chanzo: UTT
Shirika la umma hiloNaomba kuuliza UTT-AMIS siyo jamii ya LBL na KALYNDA, Nataka kujiunga lkn naogopa wasije kuniingiza chaka
Nenda shule mkuu usome kati ya biashara na uwekezajiWatanzania bado tuna ujinga mwingi sana aisee,yaan uweke milion 7 upate 2000 kwa siku kweli?...wakati unaweza kuwa na mtaji wa laki ukaingiza hata 5000 perday
Binadamu hatuzawaliwa kutesekaVijana acheni uoga na uvivu. Kafanyeni biashara au kilimo badala ya kuweka mamilioni ili upate Tsh 2000 kwa siku. Hizo UTT waachieni wastaafu au watu wengine waliojipata. Huwezi kuta mtanzania mwenye asili ya Asia anaongelea UTT
Kwa mwaka hapo ni 720k na sio 6M.in brief mifuko yote ya utt average annual interest rate =12% , hii inamaanisha monthly average interest ni 1% kwa kuwa tushapata rate ya mwezi hivyo kile kipato tunachohitaji kila siku yaani 2,000 tukifanye kiwe kwa mwezi ambapo itakuwa tshs 60,000/= Hivyo kilichobaki ni kutafuta ambayo 60k ni 1% yake ambayo ni definitly tshs 6,000,000/=
Tunavumilia hivyo hivyo kiongozi mimi niliweka kumi kila mwaka navuna m mmojaMillion 7 kwa 2k kwangu hapana
Malengo yanatofautiana ndugu. Hatuwezi Jua hiyo 7M aliipata kwenye nini. Kama amelima akapata faida ya 7 M, asiweke kama akiba?.Vijana acheni uoga na uvivu. Kafanyeni biashara au kilimo badala ya kuweka mamilioni ili upate Tsh 2000 kwa siku. Hizo UTT waachieni wastaafu au watu wengine waliojipata. Huwezi kuta mtanzania mwenye asili ya Asia anaongelea UTT
Vp mkuu unaendeleaje?Nasikia kuna kitu kinaitwa FIC ni kitu gani hiki?