The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Wameachiwa sababu hela zenyewe ndogo..
Hao wafanyakazi wana tamaa tu.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
You are right Sir!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameachiwa sababu hela zenyewe ndogo..
Hao wafanyakazi wana tamaa tu.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Zinakuwa zinaingia tu bila kuingizwa?Sijui kama jamaa atakua tofauti lakini hii michezo wanaijeria wameifanya sana. Walikua wanawatumia watu bila kujua, wanakushawishi ukafungue account uombe na POS machine, baada ya muda pesa zinaingia tu kwa account.
Na wakishaona mchezo umeshtukiwa au unataka kwenda mrama, wanapotea na kutawanyika, unaachiwa balaa peke yako.
Unaongea usichokijua? Unacheza na hii awamu kuna ndugu yangu alipewa kesi ya uhujumu uchumi kwa milioni mojaMabilioni ya shilingi huko..
Sio milioni Mia unasema mtu kahujumu uchumi.
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Unaongea usichokijua? Unacheza na hii awamu kuna ndugu yangu alipewa kesi ya uhujumu uchumi kwa milioni moja
Nimejiuliza kama wewe mkuu na nimekosa jibu. Pia mtu ukikaa ndani kuna watu wengi tu wa kukushauri mambo ya sheria na pia mpk hapo alipofikia kwenye kesi yake ya awali hakuwa hata na wakili? Je familia yake imeshindwa kumwekea mwanasheria mpk aje kuuliza leo miaka mitatu imepita? JF amejiunga toka Jan 2020 so alitoka mahabusu lini mpk ashindwe kuwaona wanasheria na kuwaelezea hiyo kesi yake.Yani umepoteza $50,000 2017 umetulie leo 2020 na huwezi kulipa legal fee ya lawyer unakuja kuomba huku jamii forum?
Maajabu ya Dunia haya, wawezaje Kuwa na uwezo huo na usiwe na legal advice ya 2m per year? Huu si wetu?
Bora Mil mkuu...Hata 70K unapewaa kesiii tuu upambanee nayooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unaongea usichokijua? Unacheza na hii awamu kuna ndugu yangu alipewa kesi ya uhujumu uchumi kwa milioni moja
Pia kupiga mil 100 kwa biashara ya Lodge tu ndani ya muda mfupi sio simple... Hapa kuna miamala majamaa waliona hii sio biashara ya lodge tena..Nimejiuliza kama wewe mkuu na nimekosa jibu. Pia mtu ukikaa ndani kuna watu wengi tu wa kukushauri mambo ya sheria na pia mpk hapo alipofikia kwenye kesi yake ya awali hakuwa hata na wakili? Je familia yake imeshindwa kumwekea mwanasheria mpk aje kuuliza leo miaka mitatu imepita? JF amejiunga toka Jan 2020 so alitoka mahabusu lini mpk ashindwe kuwaona wanasheria na kuwaelezea hiyo kesi yake...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bora Mil mkuu...Hata 70K unapewaa kesiii tuu upambanee nayooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anatupanga mtoa mada. Na hiyo kesi anaweza hasichomoke kama hakuweka mwanasheria wa kumteteaPia kupiga mil 100 kwa biashara ya Lodge tu ndani ya muda mfupi sio simple... Hapa kuna miamala majamaa waliona hii sio biashara ya lodge tena..
Wewe ni mtakatishaji fedhaNataka niishtaki bank imetoa pesa zangu zote (dola 50,000) tokea mwaka 2017 bila idhini yangu na nimechukua bank statement kweli inaonesha pesa ilitolewa toka 2017, vipi hapo kwa wataalamu wa sheria hii case imekaaje kwenye masuala ya kunilipa na je kutakuwa na compersation yoyote kutokana na usumbufu nilioupata kipindi hiki chote toka wanichukulie pesa zangu?
Angeangalia BREAKING BAD angeelewaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mr.White anashindwa hata kujilipia matibabu kisa pesa alizozijaza Chumbani ni za Madawaa...Utakatishaji sio suala simple yani ukiwa na tamaa utashikwaa chap mapema tuWewe ni mtakatishaji fedha
Huu so muda wa kumsakama, atakuwa amejifunza tayari.Yani umepoteza $50,000 2017 umetulie leo 2020 na huwezi kulipa legal fee ya lawyer unakuja kuomba huku jamii forum?
Maajabu ya Dunia haya, wawezaje Kuwa na uwezo huo na usiwe na legal advice ya 2m per year? Huu si wetu?
Wewe ni mtakatishaji fedha
Huu so muda wa kumsakama, atakuwa amejifunza tayari.
Nimejiuliza kama wewe mkuu na nimekosa jibu. Pia mtu ukikaa ndani kuna watu wengi tu wa kukushauri mambo ya sheria na pia mpk hapo alipofikia kwenye kesi yake ya awali hakuwa hata na wakili? Je familia yake imeshindwa kumwekea mwanasheria mpk aje kuuliza leo miaka mitatu imepita? JF amejiunga toka Jan 2020 so alitoka mahabusu lini mpk ashindwe kuwaona wanasheria na kuwaelezea hiyo kesi yake...
Namiliki lodge yakulaza wageni kisiwan znz, so nikajiingiza kwenye system ya booking.com ili niweze kurahisishia wageni kutoka angle zote za dunia kufanya booking kwa urahisi sana, nikafungua bank acc na wakanipa ile POS machine na wateja wakawa wanafanya booking from all over the world, ikawa ndani ya muda mchache nimepiga pesa nzuri maisha yakawa safi, sasa baadhi ya wafanyakazi wa bank sio waaminifu walipoona pesa ni nyingi, wakazuia account yangu..
Hiyo nayo inakuwaje?$50,000 au kitu bank kuzia account, wewe utakuwa umefanya dill za credit card za watu unelipwa ikawa mgogoro
swali lako la kitoto kweli, acha nikuacheMbona kuna watu wana fedha nyingi benki kuliko hizo zako ila hazijazuiwa?
Ila pole sana mkuu kwa unayoyapitia,haya yote yatapita tu na maisha yataendelea mbele,
Good luck Jomba.