Nataka niishtaki bank kwa kutoa pesa zangu zote (dola 50,000) tokea mwaka 2017 bila idhini yangu na nimechukua bank statement

Mkuu ungesubiri kwanza Hukumu ili uone itakuwaje maana mpaka sasa una kesi mahakamani Kuhusu hiyo Acc so obvious hata hela zingonekana zipo Usingeweza fanya chochote.

Kama Bank haijakushtaki bhasi tafuta mwanasheria mzuri hao jamaa utawapigaa za uso mchana kweupe na pia pesa yako itarudi tu boss.

Pole sana kaka siku hizi hii nchi ukiingiza pesaa tu toka nje wanahisi ni wakala wa mabeberu so ukute wamekufanyia hivyo wakisngizia unatakatisha pesa kuwa unalipwa hela kama Kwa ajili ya Lodge kumbe sio kwelii...pole sana mkuu ila utashindaa
 
Zinakuwa zinaingia tu bila kuingizwa?
 
Yani umepoteza $50,000 2017 umetulie leo 2020 na huwezi kulipa legal fee ya lawyer unakuja kuomba huku jamii forum?

Maajabu ya Dunia haya, wawezaje Kuwa na uwezo huo na usiwe na legal advice ya 2m per year? Huu si wetu?
Nimejiuliza kama wewe mkuu na nimekosa jibu. Pia mtu ukikaa ndani kuna watu wengi tu wa kukushauri mambo ya sheria na pia mpk hapo alipofikia kwenye kesi yake ya awali hakuwa hata na wakili? Je familia yake imeshindwa kumwekea mwanasheria mpk aje kuuliza leo miaka mitatu imepita? JF amejiunga toka Jan 2020 so alitoka mahabusu lini mpk ashindwe kuwaona wanasheria na kuwaelezea hiyo kesi yake.

Nachohisi ni kwamba kuna uhalifu alifanya huyu jamaa na pesa yake imetaifishwa. Haiwezekani toka 2017 mpk leo ndio unakuja kuomba ushauri. Anasema anataka kuonana na MD ili iweje? Kesi iko mahakamani na MD anahusika nini hapa? Pia anasema amefungulia kesi na wafanyakazi wa benki na sio benki yenyewe, hapa imeakaaje na hao staff waliomfungulia mashitaka wanahusika nini na hizo hela?

Kuna vitu vinafichwa hapa mtu mwenye akili hawezi kuelewa labda uchukulie mambo juu juu ila ukisoma between line mtoa mada anaficha information muhimu ili apate huruma yetu
 
Unaongea usichokijua? Unacheza na hii awamu kuna ndugu yangu alipewa kesi ya uhujumu uchumi kwa milioni moja
Bora Mil mkuu...Hata 70K unapewaa kesiii tuu upambanee nayooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pia kupiga mil 100 kwa biashara ya Lodge tu ndani ya muda mfupi sio simple... Hapa kuna miamala majamaa waliona hii sio biashara ya lodge tena..
 
Pia kupiga mil 100 kwa biashara ya Lodge tu ndani ya muda mfupi sio simple... Hapa kuna miamala majamaa waliona hii sio biashara ya lodge tena..
Anatupanga mtoa mada. Na hiyo kesi anaweza hasichomoke kama hakuweka mwanasheria wa kumtetea
 
Wewe ni mtakatishaji fedha
 
Yani umepoteza $50,000 2017 umetulie leo 2020 na huwezi kulipa legal fee ya lawyer unakuja kuomba huku jamii forum?

Maajabu ya Dunia haya, wawezaje Kuwa na uwezo huo na usiwe na legal advice ya 2m per year? Huu si wetu?
Huu so muda wa kumsakama, atakuwa amejifunza tayari.
 
Wewe ni mtakatishaji fedha

Hebu fafanua, uwezekano wa yeye kuwa matakatishaji fedha umekaa vipi hapo?
Tupeane elimu, jela sio kuzuri, kuna mwamba aliingia kibonge katoka na kilo 33.
 

Hapo nimeelewa
 

$50,000 au kitu bank kuzia account, wewe utakuwa umefanya dill za credit card za watu unelipwa ikawa mgogoro
 
Mbona kuna watu wana fedha nyingi benki kuliko hizo zako ila hazijazuiwa?

Ila pole sana mkuu kwa unayoyapitia,haya yote yatapita tu na maisha yataendelea mbele,
Good luck Jomba.
 
Mbona kuna watu wana fedha nyingi benki kuliko hizo zako ila hazijazuiwa?

Ila pole sana mkuu kwa unayoyapitia,haya yote yatapita tu na maisha yataendelea mbele,
Good luck Jomba.
swali lako la kitoto kweli, acha nikuache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…