Nataka niishtaki bank kwa kutoa pesa zangu zote (dola 50,000) tokea mwaka 2017 bila idhini yangu na nimechukua bank statement

Hiyo Bank waliona hiyo A/c ipo domant wakajizolea pesa washitaki.
 
Hio ni.Money Laundry au

Anyway ushauri ushauri mkuu zaidi ni kwako mnamo 28 Octb[emoji2211]
 
Hapana mzee nilikuwa ndani gerezani nimetoka hivi karibuni...story hii ni ndefu mkuu
Kama ulikuwandani na wafanyakazi wakajua ulikuwa ndani, basi waliipiga wafanyakazi wasiokuwa waaminifu ni michezo yao na nakwambiakitu ambacho nina uhakika nacho.
 
mkuu watakulipa pesa nyingi hao kenge..!! wana enjoy hela za watu tu!! Mkuu simama imara uwapige mpunga
 
Poa Mkuu, Ila nimekuelewa acha nimtafute mwanasheria nimuelezee scenario nzima
mkuu mimi nina wanasheria wangu Professional wanasimamia kesi zangu!! Ukihitaji sema nikukonect nao na Hutojutia kuonana nao!! U will thank me later
 
Pole sasa hiyo ishu unashughulika mwenyewe ? Kwann usitumie watu wakubwa au wa kawaida wakusaidie? Ni bank gani kwanza hiyo nikatoe hela zangu huko
 
mkuu wewe shitaki benki..hao wafanyakazi watatafutwa popote pale walipo
 
Ah ah wabongo mnajua Sana kudanganyana...ni hivi we jamaa kwa muda mfupi ulikua na wageni kutoka nchi gani kuweza kusanya dola 50 elfu kwe lodge??ulivyoweka sahihi kwe form ya kupewa machine hukuelekezwa kitu kinaitwa fraud activity...we ni fraudster umeiba kadi za watu nje ya nchi na ukatumia mfumo was CNP kuchukua Ela zao...(michezo ya wanaigetia?) Sasa wahanga wamelalamika na hela zimerudishwa kwao..usipende Ela ya harakaharaka hilo kosa linamahusiano na uhujumu uchumi ukifanya mchezo utapotea.....nyie ndo mnaichafua nchi
 
kw
Pia kupiga mil 100 kwa biashara ya Lodge tu ndani ya muda mfupi sio simple... Hapa kuna miamala majamaa waliona hii sio biashara ya lodge tena..
Zanzibar unapiga kule wanaanziaga dola 100 per night atakosa kuingiza dola 50,000+++

sema hapo haziwezi kuwa ni top profit running costs alikuwa anatolea wapi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…