Myebusi Mweusi
JF-Expert Member
- Jan 23, 2022
- 671
- 1,543
Nadhani anaona kuwa kuna watu wako above the law"""""Nashindwa na kuchoka kuelewa lengo la mleta taarifa.Lengo ni nini?""""
🤓🤓🤓🤓🤓
Naunga mkono hoja yako.. hii ndio dawa pekee iliyobaki njia zingine zote hazina matokeo.. hawa wanaoiba pesa za uma ni kuwaua tu kimya kimya..Sio huu uchawi feki wa Mshana Jr, nataka uchawi wa kuwaadhibù wote wenye dharau na mashauzi nchini.
Naanza na wale waliochota mahela ya umma na uchafu wao umeorodheshwa kwenye CAG report.
Siwatoi mabusha, nawamaliza kwa mateso makali.
DPP ni nani hadi anawakumbatia wezi wasichunguzwe na Takukuru?
Katiba ya mwaka 1977 ni mwiba mchungu kwa mlalahoi. Katiba imetengeneza tabaka la wanaokula neema ya nchi na wasio na tumaini.
Bila kuua hawa wezi wanaolindwa na mfumo wa CCM nchi haiwezi kwenda.
Hata serikali ingeweza kutengeneza kikosi cha siri kuwamaliza wezi wa mali za umma. Nchi nyingi zenye adili, hufanya hivyo kuwaadilisha raia wakeNaunga mkono hoja yako.. hii ndio dawa pekee iliyobaki njia zingine zote hazina matokeo.. hawa wanaoiba pesa za uma ni kuwaua tu kimya kimya..
Tanzania bado imelala.. ila hali hii ikizidi taifa la Tanzania litaangamia kwasababu ya tamaa ya hawa wezi wa mali za uma... hivi unaiba pesa zote hizo ili ukazifanyie nini, kwa faida ya nani ikiwa unaowaibia unazidi kuwadidimiza kwenye lindi la umaskini wa kutupwa.. nafikiri ifike mahala tufundishane adabu juu ya matumizi sahihi ya mali za umma.Hata serikali ingeweza kutengeneza kikosi cha siri kuwamaliza wezi wa mali za umma. Nchi nyingi zenye adili, hufanya hivyo kuwaadilisha raia wake
Wanaenda kuficha nje. Mabenki ya nje yanazikopesha na kutengeneza faidaTanzania bado imelala.. ila hali hii ikizidi taifa la Tanzania litaangamia kwasababu ya tamaa ya hawa wezi wa mali za uma... hivi unaiba pesa zote hizo ili ukazifanyie nini, kwa faida ya nani ikiwa unaowaibia unazidi kuwadidimiza kwenye lindi la umaskini wa kutupwa.. nafikiri ifike mahala tufundishane adabu juu ya matumizi sahihi ya mali za umma.