Nataka nijifunze uchawi, niwaadhibu wezi wa mali ya umma, maana CCM inakumbatia wizi kupitia ofisi ya DPP

Mkuu kumbuka kuwa hawa wezi wa ccm sio kwamba nao ni wachawi pia hapana bali pia ni wanga!
 
CAG anaiaibisha serikali KWA kututangazia wezi then Hakuna hatua inayochukuliwa
 
Hizo ni ngonjera za CAG za kila mwaka na mwakani ataimba pia ngonjera kama hizi. Sheria zetu zinawaogopa mafisadi
 
Ukifanikiwa narudi Kilingeni kwangu Msata nikupe tuzo ya umahiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…