Sema usiogope sema!Wenye kumbukumbu sahihi tafadhali niambieni kama muda alokaa Tundu Lissu jela kwa sasa kama umeshafikia muda aliokaa jela Freeman Mbowe. Nikijua basi nitaweza kusema kitu flani hapa.
Huwa nasema mambo kwa takwimu, nasubiri nipate hizo takwimu kwanza halafu nitaweza kusema.Sema usiogope sema!
Yy alikaa siku 230 .alikamatwa julai 21 /2021 na kuachiwa march 7 /2022Wenye kumbukumbu sahihi tafadhali niambieni kama muda alokaa Tundu Lissu jela kwa sasa kama umeshafikia muda aliokaa jela Freeman Mbowe. Nikijua basi nitaweza kusema kitu flani hapa.
Vitu vya kijanga ni vipi hivyo ?Usimlinganishe Mbowe na vitu vya kijinga
USSR
Moderator Wapumbavu kama huyu mnawalea vipi hapa JF?Nashauri Mello akienda Polisi, akawataje majina watu wote wanaotukana
Kwahiyo lengo ni kulinganisha tu ama,ni kuona anakomlewa tuu kwa maslahi ya wanamtandao.?Wenye kumbukumbu sahihi tafadhali niambieni kama muda alokaa Tundu Lissu jela kwa sasa kama umeshafikia muda aliokaa jela Freeman Mbowe. Nikijua basi nitaweza kusema kitu flani hapa.
Kwahiyo lengo ni kulinganisha tu ama,ni kuona anakomlewa tuu kwa maslahi ya wanamtandao.?
Wewe ni dokta wa kutibu mbwa?
Ni Dr.wakutibu wenye akili mbofu mbofu kama wanachukua chako mapema.Wewe ni dokta wa kutibu mbwa?
Inasikitisha lakiniWenye kumbukumbu sahihi tafadhali niambieni kama muda alokaa Tundu Lissu jela kwa sasa kama umeshafikia muda aliokaa jela Freeman Mbowe. Nikijua basi nitaweza kusema kitu flani hapa.
Acha ushamba basi😅Huwa nasema mambo kwa takwimu, nasubiri nipate hizo takwimu kwanza halafu nitaweza kusema.
Umejuaje kwamba mimi ni mshamba mkuu?Acha ushamba basi😅
Au basi mjomba 🤗Umejuaje kwamba mimi ni mshamba mkuu?