Nataka nijue kusoma Quaran

Ohooo huyo anafundisha chuki .....uislamu hautaki hivyo
 
Ee naam mkuu,wengine watakuambia kafiri auwawe tuu hakuna kushirikiana naye,alafu anatoa aya mahali ambapo haikukusudiwa hivyo.

Yaani mfano wa watu walioedit ile clip ya magufuli ya you know you know alafu hata uingereza hajaaaaaafika.

Au ile ya injiniaa akibabaika kusoma namba hahahha.

Sasa haya sitaki huyu ndugu yangu yamkute,kuna madhara makubwa sana.

Kuna mtu alimuuwa mama yake kwa kusema ni kafiri,kwa sababu ya fikra ambazo alifundishwa huko madrasani kwake.
Ohooo huyo anafundisha chuki .....uislamu hautaki hivyo
 
Tooobaaaa aliko saa hii anakula virungu vya kutosha hahahahah
 
hizo mambo si huko libya na nigeria boko haram, Kwani hadi tanzania yapo haya mambo ya kufundishana ugaidi😱😱
 
Ahahahaha kama kafa.tehehhehe.

Mtihani dada yangu,uislamu wa sasa huu kuna majitu mengii kila mtu asema lake tuu mradi wanakurupuka kutoa aya tuu vuuu vuu.

Tooobaaaa aliko saa hii anakula virungu vya kutosha hahahahah
 
hizo mambo si huko libya na nigeria boko haram, Kwani hadi tanzania yapo haya mambo ya kufundishana ugaidi😱😱
Huku wapo mawakala wazuri tuuuu.

Kuna mkenya mmoja akiitwa ABOUD ROGO akiwahimiza watu wazi wazi waende somalia kupigana jihadi,wakajiripuee n.k(huyu amekufa miaka ya 2013 aliuliwa na watu wasiojulikana)

Hapa tanzania kuna kijana mmoja wa mwanza alisoma pemba kwa maalim hamza (jina nalihifadhi)huyo kijana alikuwa ana wahimiza waislamau waende somalia wakapigane na kujiripua hapa tanzania ukafiri mtupu.

Na wako weeeengi tanzania ambao wana fikra hizo za kujiripua ndyo maana nakuambia hivyoo mkuu.

Ila wapo watu ambao hawafundishi fujo,hawafundishi jazba japo kuwa ukiwaona utawaona wana ndevuu nyiiingii unaweza sema ni kama kina osama ila ni watu wazurii hawana fikra mbaya za kujiripua ripua.
 
Tafuta vyanzo sahihi vya kuusoma uislam,

hakika ukiyasikia maneno ya Mwenyezimungu lazima yataufungua moyo wako kutokana na shaka mbalimbali.
 
Nenda madrasa au mskiti wowote wa karibu yako utapata private tutor.

Mtandao pia una site nyingi sana za kufundisha Qur'an lakini ni vyema ukapata basics face to face.

Ni wepesi sana kusoma Qur'an na Kiarabu. Hususan kwa anaefahamu Kiswahili.
Natafuta sana App nzuri ya kujifunzia...
 
TAMTA...NI CHUO BORA CHA KIISLAM...hii nduo chuo bora Tanzania nzima na wala hawana ada ya kutisha...50,000/= tu mwaka mzima...ukikaa bweni unalipa 80,000/= ukija njoo tujiunge pamoja...mimi naanza wiki hii...
Acheni kumsumbua aende msikiti wowote ulio karibu nae anaweza kuelekezwa madrasa ilyo karibu na yeye.
Huko kwengine kote mna mlazimisha aache shughuli zake aend3 akasome
 
SIJUI UPO MKOA UPI ILA NAKUSHAURI NENDA KAMUONE SHEKHE AU MUISLAM ALIYEAMINI MUULIZE NATAKA KUSOMA QURAN ATAKUELEKEZA NA PILI SEHEMU ULIPO ANGALIA WAPI KUNA CHUO WANAFUNDISHA NA UENDE PALE UOMBE UKIWA UPO DAR KUNA CHUO CHA WATU WAZIMA ILALA MTAA WA PANGANI NA KIGOMA FIKA HAPO MUNGU ATAKUSAIDIA .
 

SIKU UKIFUMBA MACHO NDIO UTAJUA KULIKUWA NA DINI AU UTAPELI
 
Nakumbuka nikiwa darasa la kwanza nilianza hilo zoezi, nakumbuka herufi ya kwanza tu alif.... tena unaanzia kushoto kwenda kulia..Zingine sikumbuki

Kama una mpango wa kufanya kazi uarabuni, better do it.

HII DINI SIO YA WAARABU HII DINI NI YA WATU WOTE MSIKILIZE MCHUNGAJI NGWAJIMA ANAKUELEZEA JINSI UISLAMU UNAVYOOENEA KWA KAZI MAREKANI NA ULAYA
 
Na hii umeisoma?. Mungu ni mmoja na hana mshilika. Nyingine inasema . Mwenyewe umejifanyia mambo, hata yakakufika hayo, nasi tunakutuma kwa watu ukawe mtume kwao. Sasa waulize ivi kama hanashilika ni wakinanani hawa waliokubaliana kumfanya mtume?. Zingatia neno NASI inamaana ni wingi,zaidi ya wawili,na hana mshirika. Tumeondoka dini hiyo. Mwanzoni família ilinitenga badae wote ni wakristu . Asikudanganye mtu yesu ni njia ya kweri na ufufuo wa uzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…