Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Ohooo huyo anafundisha chuki .....uislamu hautaki hivyoKwa maeneo aliyopo sina uenyeji nako labda nifanye mpango niwasiliana na Baadhi ya wanafunzi wa maeneo hayo kama atakuwa tayari ni mpe namba za walioko huko wakamuelekeze sehemu salama ya kusoma.
Naogopa asije akasoma kisha baada ya mwaka anakuja kusema waru wavae mabomu wakajiripue kuua makafiri.
Hizi fikra hizi nazipiga vita kukicha ndyo maana napenda akajifunze sehemu salama.
Nakumbuka kuna sehemu nilikuwa nasoma elimu ya hadithi basi kuna haduthi moja bhana inasema
الدنيا سجن المؤمن وجنة الكافر dunia ni jela kwa muumini na dunia ni pepo kwa kafiri.
Basi yule mfundishaji akasema "si mnaona leooo waislamu wanateswa,lazima tulipe kisasi,mashekhe wanafungwa n.k"
Nikasema huyu atanivisha mabomu siku sio nyingii...nikasepa zangu mie