Nataka nijue kusoma Quaran

Nataka nijue kusoma Quaran

Heshima kwenu wakuu, mimi ni kijana (miaka 26) mkristo ambaye hivi karibuni nimefatilia kiundani sana dini ya uislamu na nimetokea kuikubali sana.

Moja ya sababu zilizofanya niipende dini hii ni kwamba lugha inayotumika ni ile halisia iliyotumika kuandika hii quaran, Napenda sana napokua kwenye dini nisome kwa maandiko orijino, kusiwe na kitu ambacho kimeongezewa wala kupunguziwa, wala kutafsiriwa.

Kuna makosa madogo katika tafsiri ya lugha iliyotumika kwenye maandiko ya kihebrania ya biblia mfano biblia zetu zilizotafsiriwa zimeandika mama yake Yesu alikua ni bikra na ndicho wengi huamini ila biblia orijino ya kiebrania imeandika kwamba mama yake yesu alikua ni mwanamke mdogo anayeweza kuzaa,

Kwa vile hapa Tanzania ni nadra sana kukuta madarasa ya kiebrania Ningejaribu mbali kujua kihebrania ila jitihada zingegonga mwamba kwa sababu nilifatilia kwamba kwamba huko israel dini ya ukristo ni asilimia 2 tu wanaoiabudu tangu ilioruhusiwa mwa juzi (2016) ambapo wengi huabudu judaism na uislamu.

Ukristo ni dini nzuri tu ambayo imenilea mpaka hapa nilipo na kila napopata tatizo mungu amekuwa msaada sana kwangu nikiwa katika dini ya ukristo, Sitasema kwamba dini ya ukristo sio nzuri, LA HASHAAA!!!,

Zipo sababu nyingi mno zinaonifnya nihamie kwenye uislamu kutoka ukristo ambazo nikiziweka wazi patatokea malumbano yasiyo na mwisho.

Kwa sasa familia na ndugu zangu wote ni wakristo na sitapenda kuhama ghafla, nataka nipate mwanga wa elimu ya kiislamu kwa kusoma kiarabu ili nispate shida kusoma quarani.

NAOMBENI MNISHAURI MAMBO MUHIMU KUHUSU ELIMU YA LUGHA YA KIARABU ITAKAYONISAIDIA KUSOMA QURAN, NI VITU VIPI INABIDI NIJIFUNZE ILI NAPOANZA KUSOMA QUARAN NA KUINGIA RASMU KATIKA DINI YA UISLAMU NISIPATE TAABU.
Acha kutufanya sisi mazuzu yan nimesoma hadi mwisho nimegundua ww ni kijana wa kiislamu umekuja hapa kutupotosha tuu
 
Karibu mkuu weka nia tu utaijua wala haina kazi
 
We unakuja mtu mzima utasumbua wakati unafundishwa.
Lakini uamuzi ni mzuri lakini ustaadhi akikuambia vua vua akikuambia fanya hiki fanya kikubwa chochote utakachokataa kiama utahukumiwa.
 
SIKU UKIFUMBA MACHO NDIO UTAJUA KULIKUWA NA DINI AU UTAPELI
Nitakapofumba macho ndiyo utakua mwisho wangu hiyo dini yako itanisaidia nini mimi. Ujue kwamba hakuna kitu motoni la kwanza. Moto upo hapa hapa hao watapeli wenu endeleeni kuwasikiliza na hizo riwaya zilizoandikwa miaka 2000 iliyopita
 
Makazi yangu mara nyingi nipo Moshi, Mbeya mjini na Iringa mkuu...nipe ushauri
Karibu sana katika uislam, Allah akupe wepesi katika kumjua na kutekeleza maamrisho yake na kuacha makatazo yake.
Neno moja nataka ujue, huku kuna changamoto kadhaa ambazo ni muhimu sana kuzijua na pia ujue namna ya kuzikabili, mojawapo ni elimu, elimu kivipi?
Ni kwamba kuna vyuo na walimu wengi sana lakini wengi pia ni wapotofu wameacha misingi halisi ya dini na kufuata matamanio ya nafsi zao kwa hiyo kutambua hilo kwako yaweza kuwa ni changamoto nakuhofia usije dondokea katika mikono ya watu wa batili.
Binafsi yangu nafuata QUR'AN na SUNNA kwa mujibu wa WEMA WALOTANGULIA, huu ni msingi muhimu watakiwa kuujua.
Nikutakie kila la kheri na Allah akuongoze katika njia yake.
 
Heshima kwenu wakuu, mimi ni kijana (miaka 26) mkristo ambaye hivi karibuni nimefatilia kiundani sana dini ya uislamu na nimetokea kuikubali sana.

Moja ya sababu zilizofanya niipende dini hii ni kwamba lugha inayotumika ni ile halisia iliyotumika kuandika hii quaran, Napenda sana napokua kwenye dini nisome kwa maandiko orijino, kusiwe na kitu ambacho kimeongezewa wala kupunguziwa, wala kutafsiriwa.

Kuna makosa madogo katika tafsiri ya lugha iliyotumika kwenye maandiko ya kihebrania ya biblia mfano biblia zetu zilizotafsiriwa zimeandika mama yake Yesu alikua ni bikra na ndicho wengi huamini ila biblia orijino ya kiebrania imeandika kwamba mama yake yesu alikua ni mwanamke mdogo anayeweza kuzaa,

Kwa vile hapa Tanzania ni nadra sana kukuta madarasa ya kiebrania Ningejaribu mbali kujua kihebrania ila jitihada zingegonga mwamba kwa sababu nilifatilia kwamba kwamba huko israel dini ya ukristo ni asilimia 2 tu wanaoiabudu tangu ilioruhusiwa mwa juzi (2016) ambapo wengi huabudu judaism na uislamu.

Ukristo ni dini nzuri tu ambayo imenilea mpaka hapa nilipo na kila napopata tatizo mungu amekuwa msaada sana kwangu nikiwa katika dini ya ukristo, Sitasema kwamba dini ya ukristo sio nzuri, LA HASHAAA!!!,

Zipo sababu nyingi mno zinaonifnya nihamie kwenye uislamu kutoka ukristo ambazo nikiziweka wazi patatokea malumbano yasiyo na mwisho.

Kwa sasa familia na ndugu zangu wote ni wakristo na sitapenda kuhama ghafla, nataka nipate mwanga wa elimu ya kiislamu kwa kusoma kiarabu ili nispate shida kusoma quarani.

NAOMBENI MNISHAURI MAMBO MUHIMU KUHUSU ELIMU YA LUGHA YA KIARABU ITAKAYONISAIDIA KUSOMA QURAN, NI VITU VIPI INABIDI NIJIFUNZE ILI NAPOANZA KUSOMA QUARAN NA KUINGIA RASMU KATIKA DINI YA UISLAMU NISIPATE TAABU.
Mtafute Abubakar Shakau, ndani ya wiki mbili utakuwa umemaliza kazi
 
Kama upo moshi na una nia hasa ya hiki ulikokisema naomba nikusaidie

Nenda pale national house, kwenye ule msikiti ulizia ustadh mohammed kessy, mweleze shida yako bi idhini llah atakusaidia shida yako

Au nenda pasua mtafute mtu anaitwa ustadhi makame mweleze shida yako utasaidiwa au pia

Nenda njoro mtafte ustadh omar ana chuo chake kikubwa cha taw la shamsiya utasoma bila shaka

Inshallah ufanikiwe katika hili.
 
SIJUI UPO MKOA UPI ILA NAKUSHAURI NENDA KAMUONE SHEKHE AU MUISLAM ALIYEAMINI MUULIZE NATAKA KUSOMA QURAN ATAKUELEKEZA NA PILI SEHEMU ULIPO ANGALIA WAPI KUNA CHUO WANAFUNDISHA NA UENDE PALE UOMBE UKIWA UPO DAR KUNA CHUO CHA WATU WAZIMA ILALA MTAA WA PANGANI NA KIGOMA FIKA HAPO MUNGU ATAKUSAIDIA .
Na majini yanapatikana huko huko?
 
Kuna watu kabisa wamekaa na kuanza kumushaul huyu jamaa?

Kuanzia Lin wewe jamaa ulikuwa mkristo? Day kwa day humu jukwaan wewe tunakujua fika kuwa ni mwichilam sasa Lin ulikuwa mkristo?

Au ndo ile ya kupiga ngoma then unaicheza mwenyewe
 
Back
Top Bottom