Wakuu nataka nijitose nikamuoe mtoto wa mwenyekiti pale machame ila hofu yangu kubwa je mimi kapuku inawezekana? Mimi mtumishi wa tamisemi kweli ninaza kwenda kumuoa yule mtoto? Na hiyo ndiyo ndoto yangu ya kila siku aiseee kwa sababu najua nikimuoa yule mimi umasikini bye bye na hakika nitalelewa na familia ile ya mwenyekiti na nitapewa mtaji na nitaacha kazi nitakuwa bize na biashara na mke wangu
Nikifanikiwa honeymoon pale protea hotel machame! Na hakika waelevu mmeelewa hahahaha
Nikifanikiwa honeymoon pale protea hotel machame! Na hakika waelevu mmeelewa hahahaha