2in1
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 224
- 109
Habar wakuu,
Nataka ninunue pikipiki aina ya boxer bm150 kwa malengo ya biashara, Jana nilienda mjini k/koo kuulizia bei nikaambiwa ni Tsh 2,150,000 .So kabla sijanunua nimeona bora nije humu jamvini kwa ushauri na maelekezo zaidi ili nisije nikaingizwa mjini!!!
Naomba kujulishwa vitu gani nizingatie pindi ninaponunua na pia naomba kujuzwa mambo yafuatayo:-

- Nyaraka au nakala zipi, ngapi inabidi nipewe?
- Ni vitu gani ambavyo inapaswa nivikague kwenye hiyo pikipiki
- Je ni vitu gani ambavyo huwa mostly wanavichomoa au kubadilisha kwenye hiyo pikipiki na kukuekea vyengine visivyofaa au kutoweka kabisa?
- Je helmet inabidi nipewe? ,kama ndiyo wanipe ngapi?
- Je Vitu gani vyengine ukiachana na helmet inabidi nipewe?