shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,799
- 4,312
Pkpk umiza kichwa utalipwa siku nyingne haulipwi
shushushu VIP
shushushu VIP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran bro, ila huko kubadilisha jina wanatoza bei ganiHkkisha wanakupa
Kadi ya pkpk..inakuaga ktk jina la kampuni au hapo uliponunulia
So ukipewa hkksha kesho yake unaenda tra kubDilisha jina ili iwe na jina lako bnfsi
Thn hkksha unakata insurance either ndogo au kubwa
Yapo makampn mengi ila kwa uchche ni reliance, bumaco etc
Thn kama huko kwenu kuna umoja wa bodaboda na wanatoza ada ya uanachama thn ni vzr ulipie na huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Umechanua vizuri,Ila umesahau kua baada ya mapato hayo ya mwaka mzima still bodaboda inakua Mali yako,ambapo kama ulibahatika kudum nayo 1 yr ukiiuza pia faida inaongezeka maradufu,hiyo hela ni nyingi sana kuwekeza kwenye piki piki... nakushauri tafuta mradi mwingine
Firstly nimeanza na uchambuz wa hii biashara ya bodaboda ambapo hesabu zangu zinanionyesha kwamb faida yake inayopatikana haiendani na mtaji wake
Hesab zangu ni kama ifuatavyo;
1st:Tuchukulie bodaboda ya mkataba wa elfu kumi kila siku then after mwaka mmoja(siku 365)dereva inakua yake
NB:hapa naondoa hesabu za services, traffic, ajali maana hayo yanakua juu ya dereva according to mkataba
MTAJI
Bei ya manunuz + vibali +bima ni takrIbani 2,400,000
MAPATO
10,000 *365 days= 3,650,000
FAIDA
3,650,000 - 2,400,000=1,250,000
FAIDA KWA SIKU
1,250,000/365 = 3425
So kwa biashara hii ya mtaji wa mil 2.4 inauwezo wa kukuingizia sh 3400 tu kwa siku kama faida!!
2nd:Tuchukulie hesabu ya 7000 kwa siku na bila ya makubaliano ya dereva kwamba itakuja kuwa yake
Hapa nimechukulia siku 360 kama mwaka,siku 65 zilizobaki hesabu yake nimefidia kwenye risk mbalimbali kama trafic, services,ajali etc
MAPATO
7000*300 days=2,100,000
Thamani ya bodaboda baada ya mwaka 1,500,000
2,100,000+1,500,000=3,600,000
FAIDA
3,600,000-2,400,000=1,200,000
FAIDA KWA SIKU
1,200,000/365=3200
Hapa inakua inakuingizia kiasi cha 3200 kwa siku
Nimepiga hizo hesabu kwa uwelewa wangu binafsi na sio mjuzi wa kupiga hizi calculation za profit and loss kwa hiyo kama faida kwenye biashara haziwi calculated kama hivyo naomba munisahihishe
Habar wakuu,
Nataka ninunue pikipiki aina ya boxer bm150 kwa malengo ya biashara, Jana nilienda mjini k/koo kuulizia bei nikaambiwa ni Tsh 2,150,000 .So kabla sijanunua nimeona bora nije humu jamvini kwa ushauri na maelekezo zaidi ili nisije nikaingizwa mjini!!!
Naomba kujulishwa vitu gani nizingatie pindi ninaponunua na pia naomba kujuzwa mambo yafuatayo:-
- Nyaraka au nakala zipi, ngapi inabidi nipewe?
- Ni vitu gani ambavyo inapaswa nivikague kwenye hiyo pikipiki
- Je ni vitu gani ambavyo huwa mostly wanavichomoa au kubadilisha kwenye hiyo pikipiki na kukuekea vyengine visivyofaa au kutoweka kabisa?
- Je helmet inabidi nipewe? ,kama ndiyo wanipe ngapi?
- Je Vitu gani vyengine ukiachana na helmet inabidi nipewe?
Milioni 2. Pamoja na vibali au inakuwaje? Na jee? Ulaji wa mafuta upoje ukilinganisha na BM 150 Boxer-150
Biashara ya kichaaa iyo. Wakulima wengi hawajatoka kimaisha, unamshauri akalime tumia akili.Kama ungegeukia kilimo Mkuu ndani ya miezi mitatu unakua mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Maelezo ktk paragraph ya mwisho ndio itakuwa anguko lako. Mungu aepushe. Hawa jamaa wa bodaboda Si wa kuwapa Uhuru huo!Mkuu naelewa vizuri sana kua hii biashara ina faida ndogo mno kulingana na mtaj wake. Lakini mkuu kinachonifanya niwekeze kwenye hii biashara ni kwamba mim ni mwanafunzi nasomea engineeeing studies masomo peke yake yananipa changamoto kuyahandle ndio mana sitaki kufanya biashara hizo nyengine kwa sasa mana naona nitaelemewa sana na sitaki kuathiri masom kisa biashara. Nimeamua kufanya hii bodaboda mana nampa kijana yeye atakua ananiletea hesabu tu hapo ikiharibika,ikipata ajali,ikiibiwa n.k ni juu yake mimi sihusiki!!
Kama ataweza. Kama ataweza. Msimu Huu wa mavuno, anunue mahindi na kuyahifadhi mpk January or February. Kipindi hicho njaa huwa imetamalaki na price huwa ni mara mbili au zaidi ya bei alonunulia. Soko kwa kipindi hicho sio tatizo.Mkuu nimependa sana mchanganuo wako...vipi kwahiyo pesa unaweza mshauri afanye biashara gani nje ya bodaboda
Ushauri mzuri sana mkuu nimejifunza kituKama ataweza. Kama ataweza. Msimu Huu wa mavuno, anunue mahindi na kuyahifadhi mpk January or February. Kipindi hicho njaa huwa imetamalaki na price huwa ni mara mbili au zaidi ya bei alonunulia. Soko kwa kipindi hicho sio tatizo.
Changamoto ni sehemu ya kuhifadhi na dawa za kuyasitiri mahindi dhidi ya wadudu.
Kwa vijiji vya Mpwapwa, maeneo ya Gairo na Kibaigwa, 2.4 m anapata Si chini ya gunia 40.
Mwaka Jana, January to March, gunia la Mahindi lilifika mpk Tshs 140,000.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na vibali mkuu,ila wewe itabidi ukabadilishe jina la mmiliki yani liwe lako kwa sh 37,000 pia ulaji wa mafuta TVS-124.7cc, boxer 150ccMilioni 2. Pamoja na vibali au inakuwaje? Na jee? Ulaji wa mafuta upoje ukilinganisha na BM 150 Boxer-150