Nataka nikanunue bodaboda mjini, nizingatie yapi nisije kuuziwa mbuzi kwenye gunia?

Nataka nikanunue bodaboda mjini, nizingatie yapi nisije kuuziwa mbuzi kwenye gunia?

Mkuu naelewa vizuri sana kua hii biashara ina faida ndogo mno kulingana na mtaj wake. Lakini mkuu kinachonifanya niwekeze kwenye hii biashara ni kwamba mim ni mwanafunzi nasomea engineeeing studies masomo peke yake yananipa changamoto kuyahandle ndio mana sitaki kufanya biashara hizo nyengine kwa sasa mana naona nitaelemewa sana na sitaki kuathiri masom kisa biashara. Nimeamua kufanya hii bodaboda mana nampa kijana yeye atakua ananiletea hesabu tu hapo ikiharibika,ikipata ajali,ikiibiwa n.k ni juu yake mimi sihusiki!!
pole sana, si bora hiyo hela ukaweka bank utakuwa unatoa kidogokidogo kuliko risk ya namna hiyo, zingatia mchanganuo wa jamaa biashara ya bodaboda sio biashara labda uendeshe wewe
 
Mi nakushauri hiyo hela ukainunulie magunia ya mahindi kisha yapige dawa subiria miezi minne utauza bei mara mbili ya hiyo ulinunulia na utapata faida kubwa tu.
 
Hela yako hiyo njoo pm nikupe fursa ndan ya mwez mmoja unarudisha hela yako na faidaa laki nane kama upo serious

shushushu VIP
Mkuu, nami naomba unidondoshee hizo nondo kwa PM ntashkuru kiongozi.

Am waiting. Thanks.
 
Dereva ninayetaka kumkabidhi chombo anataka boxer. Hapo ikiharibika atajua yeye maana tunawekeana mkataba mkuu!
Mkataba ndio Dili wangu amemaliza juzi Mkataba mpaka namuonea wivu yaani kanyakua chombo hvi hvi ila nimemsaidia maisha pia
 
Back
Top Bottom