Nataka nilipize kisasi kwa dada ambae sasa ni mke wa mtu

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Huyu dada tumesoma nae shule ya msingi. Nikiwa msingi, waliniita mtoto wa mama, kwakua nilikua naogopa wanawake.

Siku moja alimwambia rafiki yangu kua, ajifanye tunaenda chooni kisha tukifika, yeye atanivuta kwenye choo cha wanawake, rafiki yangu kwakua alishakua mzoefu wa wanawake, yeye alikua mkubwa, alifanya hivyo,

Yule dada alijaribu kweli kunivuta, ila nilimshida nikachomoka, ila ilikua embarrassing kwangu, kwani wali prove kua naogopa wanawake na huenda sisimamishi.

Waliniita ninasura ya kike na vitu mama hivyo, sasa nimekua, nataka niifute ile aibu.

Nimpetpeti, kisha siku nikimpata, baada ya hapo namtumia text kua,

"Unakumbuka shule ya msingi ulivyonivuta choo cha wanawake? "
Kisha huo utakua ndio mwisho wa kuwasiliana.
Nadhan nipo sahihi.
 
Fanya mpango hadi aingie kingi uende nae room. Baada ya kumpa romance za hapa na pale mvue nguo zote kisha itemee mate hiko kikojoleo na umwambie "UNANUKA".na umwache hapo uondoke usikae umtafute.

NB; Usifanye hivi .
 
Range ya miaka yako ni 19-24.. kama ni zaidi ya hapo una walakini kichwan kwako
Hio range ume predict ni kubwa mno could be 14-18 na inafikirisha sana akili ya huyu jamaa.... kuna mahali hayupo sawa na anahitaji msaada wa saikolojia ya kiume.
 
Huyu dada tumesoma nae shule ya msingi. Nikiwa msingi, waliniita mtoto wa mama, kwakua nilikua naogopa wanawake.

Siku moja alimwambia rafiki yangu kua, ajifanye tunaenda chooni kisha tukifika, yeye atanivuta kwenye choo cha wanawake, rafiki yangu kwakua alishakua mzoefu wa wanawake, yeye alikua mkubwa, alifanya hivyo,

Yule dada alijaribu kweli kunivuta, ila nilimshida nikachomoka, ila ilikua embarrassing kwangu, kwani wali prove kua naogopa wanawake na huenda sisimamishi.

Waliniita ninasura ya kike na vitu mama hivyo, sasa nimekua, nataka niifute ile aibu.

Nimpetpeti, kisha siku nikimpata, baada ya hapo namtumia text kua,

"Unakumbuka shule ya msingi ulivyonivuta choo cha wanawake? "
Kisha huo utakua ndio mwisho wa kuwasiliana.
Nadhan nipo sahihi.
Epuka sana kua idle.
 
Back
Top Bottom