Nataka nimchome kwa ndugu zake

Naona hapa umeigusa medulla
 
Ni rafiki, hawara au mchumba? maana by definition mchumba ulishamchumbia/posa kwa wazazi wake. Na ukimposa mwanamke kwa wazazi si rahisi uchumba udumu kwa miaka mitatu atakuchoka tu......na ndicho kimetokea
 
1. Inaonekana wewe ni mtu wa visasi...
2. Inaonekana wewe ni wale wanaume wana wivu kama dume la nyuki...
3. Tabia kama hizo mwanamke wako akizigundua basi tarajia kuachwa, na ndio maana umepigwa chini tayari...
Kubali yaishe, tafuta mchuchu mwingine
 
Bro ukishakuwa na malengonna mwanamke hadinkutoa posa maana yake imebaki ndoa kwaio mienendo yake yote inabidi iwe kwenye circle ninayoijua
 
Haiwezi kuwa sababu ya kufanya ngono na shemeji yake
you are right lakini umewafumania wakiwa wanamenyana?
ujue moyo wa binadamu ni kichaka, kichaka huwa maficho ya kila myama na wadudu. Kama mwanaume pekee aliyekaribu naye, wanazungumza muda mwingi naye, ukizingatia anakuonana wewe hueleweki.....ibilisi anaweza akafanya yake
 
Bro ukishakuwa na malengonna mwanamke hadinkutoa posa maana yake imebaki ndoa kwaio mienendo yake yote inabidi iwe kwenye circle ninayoijua

Anaachwa mke, ijekuwa mchumba???

Posa umetoa shilingi ngapi hadi ikufanye ung'ang'anie kuwa na mtu asiye sahihi kwako?
 
Miaka mitatu uchumba? Unachukua degree ya ualimu au? Uchumba mwisho miezi sita😁😁
 
Move on silent achana na uwo udwanzi
 
Tafuta pesa Kijana, utaheshimika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…