Nataka nimchome kwa ndugu zake

Nawewe kwanini ukae uchumba miaka yote hiyo! Alafu unasema kuna tabia umeanza kuziona ambazo sizo...ni kawaida babaa, hiyo yako si uchumba tena, ni ndoa. Na kawaida ya binadamu mkishakaa pamoja muda mrefu mtajuana tu kwa mabaya na mazuri. Sasa pokea mapungufu ya mwenzio alafu jaribu kumjenga, kama hajengeki bahati yako ni hujafunga nae pingu za maisha hivyo we pita hivi...apite kule...utanishukuru badae, nipo nimekaa paleeee.
 
Nimerudia kuisoma mara mbili hii
 
Uchumba umekuwa sugu huo kaka hebu muachane kidogo then mtongoze upya mrestore πŸ˜‚πŸ˜‚atakuwa na mienendo km ya zamni
 
Halafu kwa ubwege wako utakuja kufunga naye pingu za maisha.

Malaika wako mlinzi ashakuonesha rangi zake halisi na kilichosalia ni maamuzi yako maana ukiingia kwenye ndoa ujue ndo ushasiliba mpaka Mbinguni.

Chukua hatua
Piga hatua
Achana naye
 
Kama sio mkeo si umuache aende mkuu.
Hiyo mambo ya kuiharibu familia ya mwenzio wewe itakusaidia nini?

Temana nae uwaacha wapambane na hali zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…