The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Mpe mwaya si anapokea mshahar ila ombea kwanzaNina uchumi wa kawaida, Kiasi nachoweza kumpa ni milioni 1.2 pekee, hata mimi nina majukumu binafsi, ya kifamilia, kusomesha, kuweka akiba, n.k.
Muulize kwanza akipata millioni 1 anaweza kufanyia nini ukiona anakujibu straight huyo anamipango ukiona anachekacheka ujue huyo ni mwendo wa kujipongezaa tu ukimpa..nimejenga mazoea na mlinzi anaelnda sehemu jirani, mara kadhaa mida ya jioni huwa tunajuliana hali
Katika stories kuna siku aliwah kuniambia kazi inamtesa sana, Usiku ni lazima aingie kazini saa 12 jioni mpaka kesho yake alfajiri saa 12
Analalamika kampuni inapewa laki 6 yeye anaachiwa laki 1 na elf kadhaa
Mchana anafanya biashara nyingine ndogondogo na vibarua
Ninataka kumsaidia ila kwa siri, ndivyo nilivyo, huwa napenda mtu awe free nikimsaidia bila kuhisi deni lolote juu yangu, mahusiiano ya kirafiki yaendelee kwa uhuru
Nimpeata wazo nimsaidie, Kiasi kilichopo ni shilingi milioni 1.2, mategemeo ni yeye ataacha kazi hiyo,
Je nitegemee kwamba ataacha kazi na kujikita zaidi kwenye biashara ?
Nina hofu asije kuiona kama zawadi ya kujipongeza badala ya kufanyia maendeleo
Machache yaliyonipa msukumo wa kumsaidia
- Hachezi kamari,hanywi Pombe wala havuti bangi
- Mara kadhaa namkuta anasoma kitabu cha dini yake
- Kaoa
- Anafanya biashara mchana
Ukitaka kufanya Siri mkopeshe ili ajue àna wajibu wa kurudisha. Akimaliza kurudisha mzàwadie hiyo aliyorudisha nà umpongeze kwa kupambana. Hapo utamsàidia kisirisiri.nimejenga mazoea na mlinzi anaelnda sehemu jirani, mara kadhaa mida ya jioni huwa tunajuliana hali
Katika stories kuna siku aliwah kuniambia kazi inamtesa sana, Usiku ni lazima aingie kazini saa 12 jioni mpaka kesho yake alfajiri saa 12
Analalamika kampuni inapewa laki 6 yeye anaachiwa laki 1 na elf kadhaa
Mchana anafanya biashara nyingine ndogondogo na vibarua
Ninataka kumsaidia ila kwa siri, ndivyo nilivyo, huwa napenda mtu awe free nikimsaidia bila kuhisi deni lolote juu yangu, mahusiiano ya kirafiki yaendelee kwa uhuru
Nimpeata wazo nimsaidie, Kiasi kilichopo ni shilingi milioni 1.2, mategemeo ni yeye ataacha kazi hiyo,
Je nitegemee kwamba ataacha kazi na kujikita zaidi kwenye biashara ?
Nina hofu asije kuiona kama zawadi ya kujipongeza badala ya kufanyia maendeleo
Machache yaliyonipa msukumo wa kumsaidia
- Hachezi kamari,hanywi Pombe wala havuti bangi
- Mara kadhaa namkuta anasoma kitabu cha dini yake
- Kaoa
- mara kadhaa nimekutana nae mchana akiwa kwenye mihangaiko ya biashara
Mkopo hauna usiri, tena akishindwa kulipa hata kama ni nje ya uwezo wake mfano akiibiwa pesa kuna ule uhuru utapotea kabisa baina yetu.Ukitaka kufanya Siri mkopeshe ili ajue àna wajibu wa kurudisha. Akimaliza kurudisha mzàwadie hiyo aliyorudisha nà umpongeze kwa kupambana. Hapo utamsàidia kisirisiri.
Acha roho mbayaSomtime acha mtu apitie moto wake kwenye maisha kuliko kuingilia training anayopitshwa na Mungu wake.... Japo msaada pia ua ni ktu kzur unaweza kua ww ndio daraja la kumtoa hatua moja kwenda nyingine