Nataka nimsaidie kisiri rafiki mlinzi shilingi milioni 1.2 kwa mategemeo ataacha ulinzi anaolalamka unamtesa ili afanye biashara. Je, nitarajie hilo?

Nataka nimsaidie kisiri rafiki mlinzi shilingi milioni 1.2 kwa mategemeo ataacha ulinzi anaolalamka unamtesa ili afanye biashara. Je, nitarajie hilo?

Muulize anafanya biashara gani? Angalia changamoto kwenye biashara yake na uifanyie maboresho katika hicho kiasi kwa ku top up capital yake siku baada ya siku pale mzunguko wake unapoongezeka siku baada ya siku

Kuumpa mtu hela hiyo kwa mara moja kunaweza msaidia au kusimsaidie kama alikuwa na videni vidogo vidogo au changamoto nyingine.

Mweleze kuwa wataka ku invest kwenye biashara yake ya capital usiyo mwambia na kufika kuangalia nini anafanya.. akija na fadhila au akikupa mwambie akale yeye na familia yake au asaidie wengine waliochiniyake anayeona wanahitaji msaada huo
 
nimejenga mazoea na mlinzi anaelnda sehemu jirani, mara kadhaa mida ya jioni huwa tunajuliana hali

Katika stories kuna siku aliwah kuniambia kazi inamtesa sana, Usiku ni lazima aingie kazini saa 12 jioni mpaka kesho yake alfajiri saa 12

Analalamika kampuni inapewa laki 6 yeye anaachiwa laki 1 na elf kadhaa

Mchana anafanya biashara nyingine ndogondogo na vibarua

Ninataka kumsaidia ila kwa siri, ndivyo nilivyo, huwa napenda mtu awe free nikimsaidia bila kuhisi deni lolote juu yangu, mahusiiano ya kirafiki yaendelee kwa uhuru

Nimpeata wazo nimsaidie, Kiasi kilichopo ni shilingi milioni 1.2, mategemeo ni yeye ataacha kazi hiyo,

Je nitegemee kwamba ataacha kazi na kujikita zaidi kwenye biashara ?

Nina hofu asije kuiona kama zawadi ya kujipongeza badala ya kufanyia maendeleo

Machache yaliyonipa msukumo wa kumsaidia
  • Hachezi kamari,hanywi Pombe wala havuti bangi
  • Mara kadhaa namkuta anasoma kitabu cha dini yake
  • Kaoa
  • Anafanya biashara mchana
Muulize kwanza akipata millioni 1 anaweza kufanyia nini ukiona anakujibu straight huyo anamipango ukiona anachekacheka ujue huyo ni mwendo wa kujipongezaa tu ukimpa..

Ingawa kama unataka kweli afanikiwe usiangalie sana atamudu au la wewe mjengee kwanza uwezo kwanza then mwezeshe wazungu wanaweza hili sana sisi sijui tunashindwa wapi..

Pia unaweza kuomba mawazo mbalimbali ya biashara kutoka kwake kuona he anapenda biasha au la..!
Note:
Usitoe hela yako kwa mtu ambaye nature yake sio mfanya biashara atachemka na utampa lawama bure
 
Msaidie ndugu yangu MUNGU MWENYEZI hatakusahau nawe pia katika unyonge wako utakapo ingia kwenye matata

Vijana tunateseka sana tukumbuken
 
nimejenga mazoea na mlinzi anaelnda sehemu jirani, mara kadhaa mida ya jioni huwa tunajuliana hali

Katika stories kuna siku aliwah kuniambia kazi inamtesa sana, Usiku ni lazima aingie kazini saa 12 jioni mpaka kesho yake alfajiri saa 12

Analalamika kampuni inapewa laki 6 yeye anaachiwa laki 1 na elf kadhaa

Mchana anafanya biashara nyingine ndogondogo na vibarua

Ninataka kumsaidia ila kwa siri, ndivyo nilivyo, huwa napenda mtu awe free nikimsaidia bila kuhisi deni lolote juu yangu, mahusiiano ya kirafiki yaendelee kwa uhuru

Nimpeata wazo nimsaidie, Kiasi kilichopo ni shilingi milioni 1.2, mategemeo ni yeye ataacha kazi hiyo,

Je nitegemee kwamba ataacha kazi na kujikita zaidi kwenye biashara ?

Nina hofu asije kuiona kama zawadi ya kujipongeza badala ya kufanyia maendeleo

Machache yaliyonipa msukumo wa kumsaidia
  • Hachezi kamari,hanywi Pombe wala havuti bangi
  • Mara kadhaa namkuta anasoma kitabu cha dini yake
  • Kaoa
  • mara kadhaa nimekutana nae mchana akiwa kwenye mihangaiko ya biashara
Ukitaka kufanya Siri mkopeshe ili ajue àna wajibu wa kurudisha. Akimaliza kurudisha mzàwadie hiyo aliyorudisha nà umpongeze kwa kupambana. Hapo utamsàidia kisirisiri.
 
Ukitaka kufanya Siri mkopeshe ili ajue àna wajibu wa kurudisha. Akimaliza kurudisha mzàwadie hiyo aliyorudisha nà umpongeze kwa kupambana. Hapo utamsàidia kisirisiri.
Mkopo hauna usiri, tena akishindwa kulipa hata kama ni nje ya uwezo wake mfano akiibiwa pesa kuna ule uhuru utapotea kabisa baina yetu.
 
Somtime acha mtu apitie moto wake kwenye maisha kuliko kuingilia training anayopitshwa na Mungu wake.... Japo msaada pia ua ni ktu kzur unaweza kua ww ndio daraja la kumtoa hatua moja kwenda nyingine
Acha roho mbaya
 
Back
Top Bottom