Nataka nimuoe huyu Lovely Emmy wana JF mje mshiriki sherehe napoopoa mtoto mzuri kipenzi cha dhati

Wewe ni mshenzi 🏹🏹🏹
 
Mtoto nyepe nyepe zaidi ya kyepe, ata mimi huwa nampigia nyeto pamoja na lile toto la kitanga Haszu
 
Mkuu,kwani wewe unajua kua mleta mada yuko wapi?

Halafu mbona wewe Asubuhi yote hii umeusoma huo upuuzi na kuchangia pia?

Hao mademu unakuta usiku hawakukamuliwa vizuri wanaamka na kisirani sana. Inashangaza. Hajui nipo wapi pia . Na hapaswi kunipangia cha kupost
 
Wewe ni mshenzi 🏹🏹🏹
Unapoteza bahati. Unapata mwanaume anataka akuoe unamtusi. Baadaye uanze hangaika na waganga na kusumbua masheikh na wachungaji wakuombee upate mume. Unajina zuri ila naanza kuwa na wasiwasi na tabia zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…