Guru Dev
JF-Expert Member
- Jun 25, 2025
- 487
- 680
Badili mwanangu..wavuta bange mkikosana kwenye nyuzi nyingine wanakushikia mbovuaugost 28 mwaka huu nitabadili jina.
Badili mwanangu..wavuta bange mkikosana kwenye nyuzi nyingine wanakushikia mbovuaugost 28 mwaka huu nitabadili jina.
Natamani kumtetea ila hii kesi ishakua ngumu 🤣🤣🤣Dah Binti wa zamani njoo
Haya yote kayataka Binti wa zamani 😂Joanah pitia hapa...
Huyo anayetafutwa kama mchumba sii ndiyo uliyemchana na ID yake ya kiume...Haya yote kayataka Binti wa zamani 😂
Huyo anayetafutwa kama mchumba sii ndiyo uliyemchana na ID yake ya kiume...
Ina maana mleta hajui kam ni mwanaume huyo...
Ndiyo yeye Lovely EmmyHivi braza @holoholo kapotelea wap
afanye abadili jina ona sasa wanavo mshobokea wazee wa kubetiNdiyo yeye Lovely Emmy