Nataka ninunue Infinix hot 12i au 10i wazee vipi ubora wake kwa wale walioinunua

Nataka ninunue Infinix hot 12i au 10i wazee vipi ubora wake kwa wale walioinunua

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2015
Posts
726
Reaction score
476
Habari zenu ndugu zangu wa damu,pongezi nyingi kwa kuamka salama
Nimepata hela kidogo nataka ninunue Infinix hot 12i au 10i ipi nzuri zaidi na kama au bora zaidi ?
Karibuni sana
 
Mkuu, achana nae huyo! Chukua infinix hot 10i utakuja kunishukuru baadae! Battery 6000 mAh, unakeep data on siku nzima, baada ya masaa 24 kitu inasoma 60%. Display ya kioo ni nzuri, kitu inasupport 4G kwenye SIM CARD zote mbili! Hakika hutojutia!

sent from my infinix hot 10i
Hivi mkuu unazungumzia Nini hapa? Huoni ungekuwa shambani Sasa hivi unachakarika ingeleta tija? Kwani baada ya miezi mitatu msimu wa mavuno ukija watu tunafurahi tunapata chakula Cha kutosha na kama nchi tunapiga hatua thabit ya maendeleo?
 
Habari zenu ndugu zangu wa damu,pongezi nyingi kwa kuamka salama
Nimepata hela kidogo nataka ninunue Infinix hot 12i au 10i ipi nzuri zaidi na kama au bora zaidi ?
Karibuni sana
Infinix ni nzuri hyo ten I pia ni kali kikubwa angalia sifa kwa kuzichek comparison utofaut ila ni nzur hz tunaita Samsung zilizo changamkaa
 
Back
Top Bottom