Nataka ninunue Infinix hot 12i au 10i wazee vipi ubora wake kwa wale walioinunua

Nataka ninunue Infinix hot 12i au 10i wazee vipi ubora wake kwa wale walioinunua

Habari zenu ndugu zangu wa damu,pongezi nyingi kwa kuamka salama
Nimepata hela kidogo nataka ninunue Infinix hot 12i au 10i ipi nzuri zaidi na kama au bora zaidi ?
Karibuni sana
Baina ya 12i na 10i hio 10i ni nzuri zaidi.

Sema kama budget yako inafika 280k angalia redmi 9 Tigoshop ni simu nzuri zaidi.
 
Nilidhani wataka kununua gari, kumbe simu. Duh! Ukienda dukani, hizo negotiations zitakuwa balaa.
Habari zenu ndugu zangu wa damu,pongezi nyingi kwa kuamka salama
Nimepata hela kidogo nataka ninunue Infinix hot 12i au 10i ipi nzuri zaidi na kama au bora zaidi ?
Karibuni sana
 
Atafute Xiaomi redmi note 11 or 11 pro
Xiaomi redmi 10 C
Redmi 9A kama anabajet ndogo
 
Watu wa ma iphone na masamsung tutakavotua kama mwewe hapa hutaamini
 
Back
Top Bottom