Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Baina ya 12i na 10i hio 10i ni nzuri zaidi.Habari zenu ndugu zangu wa damu,pongezi nyingi kwa kuamka salama
Nimepata hela kidogo nataka ninunue Infinix hot 12i au 10i ipi nzuri zaidi na kama au bora zaidi ?
Karibuni sana
Habari zenu ndugu zangu wa damu,pongezi nyingi kwa kuamka salama
Nimepata hela kidogo nataka ninunue Infinix hot 12i au 10i ipi nzuri zaidi na kama au bora zaidi ?
Karibuni sana
matumizi ya kawaida yapi10i iko poa kwa matumizi ya kawaida
Yaani mbali na kupiga pichamatumizi ya kawaida yapi
ndio bossYaani mbali na kupiga picha
Achana na simu za wachina kama huna ela jikusanye ununue samsung yeyote.Habari zenu ndugu zangu wa damu,pongezi nyingi kwa kuamka salama
Nimepata hela kidogo nataka ninunue Infinix hot 12i au 10i ipi nzuri zaidi na kama au bora zaidi ?
Karibuni sana