Nataka ninunue Pikipiki ila nahisi haitokuwa yangu

Nataka ninunue Pikipiki ila nahisi haitokuwa yangu

Mchoraji Cyper255

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2012
Posts
1,780
Reaction score
6,133
Habari Wakuu,

Nataka nivute Pikipiki kwaajili ya misele yangu hapa Town.

Tatizo Nikiinunua itakuwa Pikipiki ya Washikaji tu. Muda wote naazimwa, Siwezi kupata muda mzuri wa kuinjoy nayo.

Msaada, nifanyeje kuepuka Washikaji kuniazima Pikipiki mara kwa mara?
 
Inaonekana na ww ndo Tabia yako Kuazima azima, Acha Kuazima vya watu kabla hujanunua hIyo pikipiki, watajishtukia hawawezi Kuazima ukinunua yako
Mimi sio Mtu wa kuazima azima. Na ninachukia tabia yao hiyo. Ila basi tu.
 
Habari Wakuu,
Nataka nivute Pikipiki kwaajili ya misele yangu hapa Town.
Tatizo Nikiinunua itakuwa Pikipiki ya Washikaji tu. Muda wote naazimwa, Siwezi kupata muda mzuri wa kuinjoy nayo.

Msaada, nifanyeje kuepuka Washikaji kuniazima Pikipiki mara kwa mara?
Ila wabongo aisee[emoji848][emoji848] dah!
Sasa hii ni mada gani
 
Wapigie simu ukiwaomba msaada kuna jambo umekwama wakukopeshe hela, utaona watavyotoka nduki,.. itakuwa umeshawajua then kanunue chombo yako hawatasogea kwa aibu.
 
Back
Top Bottom