Mchoraji Cyper255
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 1,780
- 6,133
Naona jinsi wanavyoazima usafiri kwa watu wengineUmejuaje kama watakuwa wanaazima?
Hapa naona nitaleta chuki na maneno mengi. Jamaa anajidai kumiliki PikipikiUsiwape wakiazima
Nitajaribu hili. Japo ni washikaji ambao lazima tukutane kwenye mishe mishe.Anza kuwawekea vikwazo ( kuwatenga) washkaji zako wote.....
Then ishi kivyako vyako
Mimi sio Mtu wa kuazima azima. Na ninachukia tabia yao hiyo. Ila basi tu.Inaonekana na ww ndo Tabia yako Kuazima azima, Acha Kuazima vya watu kabla hujanunua hIyo pikipiki, watajishtukia hawawezi Kuazima ukinunua yako
Kila atakae taka umuazime pikipiki wwe mkodishe,utaona wataanza kukukwepa wap wenyewe, Wabongo hawapendi gharama!!Nitajaribu hili. Japo ni washikaji ambao lazima tukutane kwenye mishe mishe.
Ila wabongo aisee[emoji848][emoji848] dah!Habari Wakuu,
Nataka nivute Pikipiki kwaajili ya misele yangu hapa Town.
Tatizo Nikiinunua itakuwa Pikipiki ya Washikaji tu. Muda wote naazimwa, Siwezi kupata muda mzuri wa kuinjoy nayo.
Msaada, nifanyeje kuepuka Washikaji kuniazima Pikipiki mara kwa mara?